Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Nipo kwenye mahafali mkoa wa Ruvuma Manispaa ya Songea,kuna mahafali kwenye shule ya sekondari.ajabu nilishangaa mgeni rasmi alipotakiwa kuongeza hela ili keki ifunguliwe eti akasema kabla sijaongeza nataka kutumia salam ya chama watu wakiitikia ndiyo naongeza,halafu alipofika wakati wa kulisha keki mwakilishi wa wahitimu akasema aje mwanafunzi ila awe anapenda ccm.hapa ndiyo nauliza kwanini hawa watu hawajali protoko?