Rais Samia Suluhu Hassan - Mama wa Taifa na Mfariji Mkuu wa Taifa

Nov 6, 2016
51
141
Dr Samia Suluhu Hasan - Mama wa Taifa na Mfariji Mkuu wa Taifa

Na Comrade Ally Maftah

Taifa letu limepata bahati kubwa sana kumpata mfita machozi kama Dr Samia Suluhu Hasan katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia mabadiliko mbalimbali ya kiuchumi na kimazingira.

Ni kipindi ambacho tusingampata Dr Samia Suluhu Hasan pengine tungekuwa tumejiingiza kwenye heka heka nzito za migogoro ya kiuchumi na kimahusiano, hii ni kwa maono yangu,

Dr Samia Suluhu Hasan amkuja kutupa matumaini makubwa wana siasa, wajasiliamali, wasomi, na wananchi wote kwa

- Kuongeza wigo wa utoaji wa elimu na makundi ya kupata elimu kwa kujenga madarasa na kuruhusu wajawazito kuendelea na masomo

-Democrasia na uhuru wa habari, vijana wengi wamerudisha matumaini kwa kupata kipato kupitia mitandao

- Miundombinu ya usafirishaji na umeme

Na Comrade Ally Maftah
CEO - CAM STORE
Mjumbe Mkutano Mkuu Mkoa CCM & Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

IMG-20231017-WA0001.jpg
 
Yaan huyu mama awe na mabaya asiwe nayo.... Bado ataitwa mama wa Taifa...maana ndiyo mwanamke wa kwanza na huenda akawa wa pekee kuliongoza Taifa la Tanzania
 
Dr Samia Suluhu Hasan - Mama wa Taifa na Mfariji Mkuu wa Taifa

Na Comrade Ally Maftah

Taifa letu limepata bahati kubwa sana kumpata mfita machozi kama Dr Samia Suluhu Hasan katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia mabadiliko mbalimbali ya kiuchumi na kimazingira.

Ni kipindi ambacho tusingampata Dr Samia Suluhu Hasan pengine tungekuwa tumejiingiza kwenye heka heka nzito za migogoro ya kiuchumi na kimahusiano, hii ni kwa maono yangu,

Dr Samia Suluhu Hasan amkuja kutupa matumaini makubwa wana siasa, wajasiliamali, wasomi, na wananchi wote kwa

- Kuongeza wigo wa utoaji wa elimu na makundi ya kupata elimu kwa kujenga madarasa na kuruhusu wajawazito kuendelea na masomo

-Democrasia na uhuru wa habari, vijana wengi wamerudisha matumaini kwa kupata kipato kupitia mitandao

- Miundombinu ya usafirishaji na umeme

Na Comrade Ally Maftah
CEO - CAM STORE
Mjumbe Mkutano Mkuu Mkoa CCM & Wazazi Mkoa wa Dar es SalaamView attachment 2784380
We jamaa una auchawa wa kipuuzi sana

USSR
 
Haya ni matusi makubwa kwa Mama Maria Nyerere mjane wa hayati Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo kwenye "mfita machozi" andika "mfuta machozi"nkiri tu andiko zima hicho ndo nlichokiona
 
Dr Samia Suluhu Hasan - Mama wa Taifa na Mfariji Mkuu wa Taifa

Na Comrade Ally Maftah

Taifa letu limepata bahati kubwa sana kumpata mfita machozi kama Dr Samia Suluhu Hasan katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia mabadiliko mbalimbali ya kiuchumi na kimazingira.

Ni kipindi ambacho tusingampata Dr Samia Suluhu Hasan pengine tungekuwa tumejiingiza kwenye heka heka nzito za migogoro ya kiuchumi na kimahusiano, hii ni kwa maono yangu,

Dr Samia Suluhu Hasan amkuja kutupa matumaini makubwa wana siasa, wajasiliamali, wasomi, na wananchi wote kwa

- Kuongeza wigo wa utoaji wa elimu na makundi ya kupata elimu kwa kujenga madarasa na kuruhusu wajawazito kuendelea na masomo

-Democrasia na uhuru wa habari, vijana wengi wamerudisha matumaini kwa kupata kipato kupitia mitandao

- Miundombinu ya usafirishaji na umeme

Na Comrade Ally Maftah
CEO - CAM STORE
Mjumbe Mkutano Mkuu Mkoa CCM & Wazazi Mkoa wa Dar es SalaamView attachment 2784380
Kutoka Bil.2 Kwa Wilaya Hadi Bil.50. Anastahili kuwa Mama wa Taifa.

View: https://twitter.com/RahmaChuwa/status/1714211370579693786?t=2Yx7NELvz6AsRKaHVnCegA&s=19
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom