Askofu Gwajima tunaomba ufafanuzi kama Stendi ya Tegeta Nyuki inafutwa na sasa Daladala zote zitaishia Bunju!

Nafikiri nimeshaleta uzi humu JF, kuwajulisha wana Kawe wenzangu na watanzania kwa ujumla, kwamba kwa mara nyingine tena wana Kawe tumekosa kupata mbunge wa kutuletea maendeleo ya kweli katika jimbo letu.

Ningekuwa na uwezo ningemshauri dr Tulia (spika wa bunge) aje agombee ubunge katika jimbo letu. Nina imani angefanya mambo makubwa ya maendeleo zaidi ya huyu tulie nae, anaeshinda ofisini na kwenda kukusanya sada kanisani kila jumapili bila kuwaza namna ya kuleta maendeleo katika jimbo letu.
 
Hapo kwenye tatizo ndio kunakuwa na suluhisho, Tegeta kuna maeneo Makubwa ya wazi yanayo weza kufanywa stendi ya mabasi na hivyo kuleteleza barabara ya kuingilia namanga ikatengenezwa na stendi kujengwa baada ya kupita Kwa Majura.
 
Hapo kwenye tatizo ndio kunakuwa na suluhisho, Tegeta kuna maeneo Makubwa ya wazi yanayo weza kufanywa stendi ya mabasi na hivyo kuleteleza barabara ya kuingilia namanga ikatengenezwa na stendi kujengwa baada ya kupita Kwa Majura
Pale Ugogoni wameshajenga Shule ya Urio
 
Mbunge wa Kawe Dr. Gwajima PhD tunaomba ufafanuzi wako kuhusu Stendi ya Daladala Tegeta Nyuki kufutwa.

Inasemekana eneo lile ni la Bilionea Msacky na sasa ameshinda Kesi na kurejeshewa eneo lake, je ni kweli?

Ni hilo tu Mh. Mbunge wetu!
lete taarifa kamili kuhusu hyo kesi
 
Back
Top Bottom