Mpiga kura husaidia wengine kupata kula

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,514
21,999
Anapendwa sana na wagombea madaraka pale tu kipindi cha uchaguzi kinapofika, baada ya hapo mapenzi ya mgombea madaraka kwa mpiga kura hupotea kwa miaka 5.

Hufanywa mjinga, na huwa mjinga kwa kurudia kumpa kura mtu yule yule aliyemtelekeza kwa miaka 5 aendelee kupata kula (ulaji).

Sijajua ni nini hasa huwa kinachangia kwa mpiga kura kubaki zoba miaka nenda rudi huku anaowapa kula wakiendelea kufyonza mema yote ya nchi.

1697689397058.jpg
 
Back
Top Bottom