Nape Nnauye: Mimi ni Mkristo isome Sala ya Baba Yetu Uliye mbinguni, tusiishi kama siye ni Watakatifu sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Mh Nape Nnauye amempingeza ndugu Paul Makonda kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi CCM

Akiwajibu wale waliohoji mambo ya Protea Enzi zile mh Nape amesema " Mie ni Mkristo isome Sala ya Baba Yetu Uliye mbinguni tusiishi kama siye ni Watakatifu sana"

Nape amemtakia kila la Kheri ndugu Paul Makonda katika majukumu yake mapya

Source: Ukurasa wa X wa Nape
 
Akiwajibu wale waliohoji mambo ya Protea Enzi zile mh Nape amesema " Mine ni Mkristo isome Sala ya Baba Yetu Uliye mbinguni tusiishi kama siye ni Watakatifu sana"

Aisee
 
Huyu kama chongolo
 
Mh Nape Nnauye amempingeza ndugu Paul Makonda kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi CCM

Akiwajibu wale waliohoji mambo ya Protea Enzi zile mh Nape amesema " Mie ni Mkristo isome Sala ya Baba Yetu Uliye mbinguni tusiishi kama siye ni Watakatifu sana"

Nape amemtakia kila la Kheri ndugu Paul Makonda katika majukumu yake mapya

Source: Ukurasa wa X wa Nape
nape is Defeated unategemea asemeje wakati hasimu wake amekaribishwa na Samia. Anajua akionesha kumpinga Samia na uteuzi huu anam trush!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom