Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,107
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
 
Attachments

  • Tamko_la_Wanazuoni_Palestina_final_UPDAT.pdf
    97.3 KB · Views: 5
Hamas walipofanya shambulizi la kushtukiza na kuua waisraeli zaidi ya elfu moja na wengine kuchukuliwa mateka hao wanazuoni walikuwa usingizini? wasituletee uchawa hapa, Israel ina haki ya kulipa kisasi kufuatia raia wao kuuawa na magaidi. Hizo laana zao kwa Israel ziwarudie wao wenyewe na vizazi vyao wenyewe, wasimshirikishe kila mtu wala kuishinikiza nchi.​
 
Alichofanya HAMAS ni kitu kibaya sana, laiti Israel isingekuwa inawaoccupy hawa Wapalestina, hayo mambo waliyofanya HAMAS yasingekuwepo. Root cause ya matatizo yote hapo middle east ni occupation ambayo Wapalestina wanasuffer sasa kwa miaka zaidi ya 75.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.

Pumbavu zao, wameshindwa kutetea wa maasai waliondolewa Ngorongoro au raia wawili waliopotezwa mpaka Leo haijulikani walipo wanahangaika na Palestine. Hao Hamas ndio chanzo Cha makubaliano ya kuanzisha Nchi ya Palestine kukwama. Walimsumbua Sana Arafat hao akina Sheikh Yassin na kundi lake.
 
Alichofanya HAMAS ni kitu kibaya sana, laiti Israel isingekuwa inawaoccupy hawa Wapalestina, hayo mambo waliyofanya HAMAS yasingekuwepo. Root cause ya matatizo yote hapo middle east ni occupation ambayo Wapalestina wanasuffer sasa kwa miaka zaidi ya 75.

Occupation ya wapi? Arafat na Itzak Rabin walikubaliana kwenye Oslo Accords 1993 kuanzisha taifa la Palestine na wote wagawane makao makuu yawe Jerusalem. Palestine wachukue East Jerusalem na Israel achukue West Jerusalem. Hao Hamas wakamwekea kauzibe Arafat wao wakitaka Israel ikabidi Jerusalem yote, makubaliano yakaishia hapo.
 
Alichofanya HAMAS ni kitu kibaya sana, laiti Israel isingekuwa inawaoccupy hawa Wapalestina, hayo mambo waliyofanya HAMAS yasingekuwepo. Root cause ya matatizo yote hapo middle east ni occupation ambayo Wapalestina wanasuffer sasa kwa miaka zaidi ya 75.
Unamaanisha nini unaposema occupation?

Canan, ambayo inajumuisha Israel ya sasa na Palestina ya sasa, yote yalikuwa maeneo ya Wayahudi kabla ya uvamizi wa ufalme wa Babiloni. Baada ya uvamizi wa ufalme wa Babiloni, wayahudi walichukuliwa mateka na kupelekwa utumwani kwa miaka 70. Kisha walirudi kwenye ardhi yao. Baadaye Wayahudi wakasambaa Dunia nzima wakiyaacha maeneo yao bila ulinzi, wapalestina wakajimilikisha maeneo yote ya Wayahudi. Wayahudi waliporejea wakayachukua baadhi tu ya maeneo yaliyokuwa sehemu ya Canan, mengine wakayapoteza, ambayo yalichukuliwa na wapalestina na waarabu.

Kwa mazingira hayo, nani ame-occupy maeneo ya mwingine?

Upande wa wapalestina, kosa kubwa walilofanya, ni kuyapa nguvu makundi ya kigaidi ya Iran, kama Hamas na Hizbollah.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Hapa tanzania tu kuna vita dhidi ya Wamasai kufukuzwa kwao Ngorongoro na huko Nigeria, Sudan, Somalia, Tchad, Niger wananchi wanatekwa na wengine kuuliwa kisa dini ya Kiislam, yaani wahuni wanataka kuleta mataifa huru ya Kiislam ili jamii iishi maisha ya giza ya karne ya 7 ambapo watu walikuwa wanauana tu na kubakana bila chochote kufanyika kama vile waishivyo jamii ya Kitaleban huko Afghanstan, mbona hatuwasikii ndugu zetu Wanazuoni wakitoa neno kukemea huu ujinga? Waafrika kwa kweli tuna matatizo ya kiakili kabisa, unaacha yako unadakia yasiyokuhusu ili iweje?
 
Ushamba tu unawasumbua hao jamaa eti wanazuoni ,pumbavu zao kabisa.
 
Back
Top Bottom