kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Tukiachana na mkataba wa DP world na serikali kuna mkataba wa milele kati ya Kanisa na serikali
Huu ni mkataba wa hovyo, wa kipumbavu na wa kipuuzi kupindukia yaani serikali inatoa mabilioni kila mwezi kuendesha mahosptali ya kanisa fulani hivi halafu mapato yakipatikana serikali haipati hata mia
Mwishowe hizo pesa zinaishia kwenda kujenga ulaya huko kwa waasisi
Kuna mambo yanashangaza sana, serikali inagharamia mabilioni halafu gharama za matibabu ni kubwa mnoo
Si mwislam wala sio mkristo anayenufaika na hizi hosptali kigharama au unafuu ukiuliza hizo pesa zinaendaga wapi, bora hata zingebaki hapa huwa zinaenda ulaya!!
Huu mkataba ni wa kipuuzi sana nashindwa kujua kwanini watu wameridhika nao kibaya zaidi ni mkataba wa milele.