Makonda: Sisi Viongozi wa Serikali ndio tunapaswa kuja kwenu Viongozi wa Dini kupata suluhisho la changamoto tunazopitia na siyo Kinyume chake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,996
142,010
Kichwa cha Uzi huu ni kauli ya Paul Makonda mbele ya baba askofu Dr Mokiwa katika Kanisa la St Albans wakati akiwa Mkuu wa mkoa wa DSM

Viongozi wa Serikali ndio wanapaswa kuwaendea Viongozi wa Dini kutafuta Suluhu ya changamoto mbalimbali

Nichukue fursa hii kuendelea kukupongeza Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa

Na wewe Mwenezi Makonda nikupongeze pia

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
 
Takataka rubbish toka kwa failures wa acadmics, leo eti ndio viongozi. takataka
 
Niliwaambieni siku nyingi sana kuwa 01 Nov 2023 DP WORLD wanaanza kazi nikazodolewa kwelikweli
Ulituambia au Ulikuwa unarusha rusha matambala dizaini ya mduara?

Wewe unafurahia Bandari Kugawiwa....hebu angalia haya yaliyo orodheshwa chini....
jamiiforums-1147096054-jpg.2789399

Longo longo na porojo kufunika Ukweli juu ya yanayoendelea kuhusu kugawiwa kwa bandari, sawa tu na mada hii.

Haya ya Makonda kasema nini sijui wakati akiwa Mkuu wa Mkoa yanasaidia nini kwa Mtanganyika?

☝️ 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kichwa cha Uzi huu ni kauli ya Paul Makonda mbele ya baba askofu Dr Mokiwa katika Kanisa la St Albans wakati akiwa Mkuu wa mkoa wa DSM

Viongozi wa Serikali ndio wanapaswa kuwaendea Viongozi wa Dini kutafuta Suluhu ya changamoto mbalimbali

Nichukue fursa hii kuendelea kukupongeza Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa

Na wewe Mwenezi Makonda nikupongeze pia

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
kumbukumbu nzuri.Asante
 
Ulituambia au Ulikuwa unarusha rusha matambala dizaini ya mduara?

Wewe unafurahia Bandari Kugawiwa....hebu angalia haya yaliyo orodheshwa chini....
jamiiforums-1147096054-jpg.2789399

Longo longo na porojo kufunika Ukweli juu ya yanayoendelea kuhusu kugawiwa kwa bandari, sawa tu na mada hii.

Haya ya Makonda kasema nini sijui wakati akiwa Mkuu wa Mkoa yanasaidia nini kwa Mtanganyika?

☝️ 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mahodari sana, DP World hao bandarini.
 
Back
Top Bottom