Ni jambo la kusikitisha tangu SGR ianze kujengwa raisi wetu mpendwa hajawahi kuja kuikagua na timu ya wataaalamu wake.
Wanakuja TRL magari yao na hawafungui vioo wanaondoka bila kukagua wengine wanakagua ofisini hawafiki site.
Ikumbukwe kuwa ujenzi wa kilometa ya SGR moja ina gharimu billioni 11 za kitanzania. Sasa ni pesa nyingi jamaaa wanafanya uhuni mkubwa sana. Angalia ujenzi wa SGR upande wa mwanza vituko vitupu kwa wachina wanafanya mambo kivyao.
Wachina walikuwa wajanja wamefanya ujanja kukarabati wa bure reli ya kati ili wapate tenda ya kujenga SGR, Na wamefanikiwa kwa kutoa rushwa ila wanayoyafanya huko mwanza ni hatari.
Reli ya SGR waturuki kuanzia tura mpaka mpaka itigi reli iko chini ya kiwango wakaguzi hawaji site na Rais mwenyewe hafiki mwisho, haya tunaongea kwa sababu ya uzalendo na si kwasababu ya wivu Rais uwe mkali.