Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Nafikiri huu ndio ufisadi mkubwa zaidi kuliko hata skendo ya DP World. Inasikitisha nchi inatafunwa na genge liitwalo ccm hadi huruma.
Kwamjibu wa Jarida la The Global Mail linasema kuwa kikosi kilichoundwa na Rais (Task Force) cha Watu 60 waliokuwa na kazi ya kuhakikisha Kampuni ya Madini ya BARRICK GOLD inafuata sheria na kureport kwa Rais, ilikuwa inalipwa mshahara na serikali halafu, hapo hapo walikuwa wanapokea rushwa ya dola milioni 1.2$. Ambayo ni sawa na pesa za Kitanzania shilingi bilioni tatu (3,000,000,000) kutoka kwa kampuni ya BARRICK ili kuficha madudu ya Kampuni hiyo.
Hebu fikiria Wakati wewe unakosa maji safi na salama, unakosa barabara za kufika kwenu, wakati mwanao shuleni anakosa madawati, na pengine mwanao anaambiwa abebe majivu akayatumie kama ubao huko shuleni. Kisha wanasimama hadharani makada wa ccm wanakwambia ccm itatawala milele.
Halafu nchi ina vyombo vya Ujasusi zaidi ya 6, ambavyo ni JWTZ, TISS, POLISI, TAKUKURU, MAGEREZA, UHAMIAJI, JESHI USU, TANAPA nk. Lakini wizi kama huu uliofanyikia hapo Tarime na Dar hakuna chombo cha ulinzi kilichukua wajibu wake ama kwakutojua yanayotendeka au kwakujua. Hadi miaka mitatu baadae ndio wizi unafichuliwa na Geoffrey Yorke toka nje ya Tanzania.
Ifahamike na kueleweka wazi kwamba, kwenye Task Force hiyo ya watu 60 kulikuwa na uwakilishi kamili kwa 100% wa vyombo vyote vya ulinzi na Usalama wa nchi hii vinavyoonekana na visivyoonekana.
Jisomee mwenyewe habari kwa urefu wote.
Endelea kujipatia Kitabu cha Ujasusi kwa bei halisi ya 80,000/= tu popote ulipo.
Nunua kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere)
Ndani ya Dar ni free Delivery, Nje ya Dar nauli ni 8,000/=.

Barrick subsidiary’s payments to Tanzanian officials triggered concerns over anti-corruption breaches, company e-mails show
Documents show British-based Acacia Mining was making payments to dozens of Tanzanian civil servants on law-enforcement task force
www.theglobeandmail.com