Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,287
Enzi za mwalimu Nyerere aliwatosa Israel na akawakubali Palestine na hadi kuweka ubalozi.
Zama hizi Tanzania imepiga kura ya veto kupitia UN, kupinga kile Israel inachokiita kusafisa magaidi ya Hamas
Tangu uhuru hadi leo hakuna Rais aliyewahi kuwaunga mkono Israel juu ya mzozo wao kongwe na Palestine.
Ni Hayati Magufuli tu ndiye aliyethubutu kuitambua Israel, ila baada ya yeye, aliyepo naona pia kaipa mgongo Israel. Kuna agenda gani Kati ya Palestine na Tanzania?
NB. Sina mlengo wa udini hapa .