Tetesi: Karibu CHADEMA Luhaga Mpina, Kazi tulikutuma CCM umeitendea haki.

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
20231105_075255.jpg

TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya kikundi cha CHADEMA zinasema kuwa mpango na mkakati wa kumpokea Luhanga Mpina kama mwanachama wao mpya kuelekea uchaguzi wa 2025 umekamilika na anatajwa kuwa ni mtu anayekwenda kupewa nafasi ya umakamu Mwenyekiti wa kikundi hicho kufuatia mgogoro unaoendelea ndani ya kikundi hicho kayti ya Mbowe na Lissu. Lengo kubwa ni kuvuna kura nyingi kanda ya ziwa mbako tayari CCM imeonekana kupoteza ladha na kutokubalika kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na hasa wakati wa Magufuli.

Luhanga Mpina ambaye anajua kabisa kuwa hawezi kupitishwa na CCM kuwa mgombea wa ubunge kutokana na tabia yake ya kuwa mpinzani ndani ya serikali na bungeni na kufikia hatua ya kukosoa mwenyekiti wa chama chake waziwazi na mbaya zaidi ni baada ya kubainika kuwa ndiye kinara wa kundi linaloongoza kampeni ya kutomchagua Rais Samia mwaka 2025 zinazoendea kufanyika kwenye kumemfanya ajiondoe mwenyewe kwenye chama hicho na ana uhakika atashinda uchaguzi jimboni kwake kupitia kikundi cha CHADEMA.

Luhanga Mpina amefanikiwa sana kuunda makundi kanda ya ziwa ambayo yanaeneza ukabila na udini kuelekea uchaguzi wa 2025 ambapo wanatumia hoja ya usukuma na SUKUMA GANG na kumhusisha Magufuli na jinsi ambavyo wameachwa nyuma tokea Magufuli aondoke ili kukwamisha ushindi wa kishindo kwa Rais Samia. Mpina anafadhiliwa na mkundi yaliyoko ndani ya CCM hasa yaliyokuwa ni ya wafuasi wa Magufuli na SUKUMA GANG na sasa kishamaliza kazi ya kuunda hayo makundi sasa anataka kutoka CCM ili kwenda kuifanya kazi hiyo sawasawa kama mpinzani.

Luhanga Mpina anakwenda mbali zaidi pale anaposikika akisema watu wa kanda ya ziwa watapiga kura za ubunge kwa wagombea wengi wa CCM lakini kura ya urais hawatampigia Rais Samia na hilo linafanywa kwa kuenezwa chuki kuanzia sasa kuwa wasukuma wamesahaulika na wanadharaulika toka Magufuli afe wakati wao ni kundi kubwa la wapiga kura ndani ya nchi hii.

Kwa hiyo Luhanga Mpina anaposimama bungeni kuongea na kudai katiba,mara kutaka sijui serikali ijiuzulu ,mara sijui waziri gani aondoke siyo kwamba anafanya makusudi au hajui anachofanya bali ni sehemu ya mkakati na sasa mkakati umeiva ni suala la utekelezaji tu.
 
Huyu ndiye mgombea urais kupitia CDM 2025.
Kanda ya ziwa, kanda ya Kati, kanda ya kaskazini , kanda ya Pwani Dar na kanda ya kusini Tanganyika tuko naye.

Unguja na Pemba Kura zenu kwani nazo!!
 
View attachment 2804258

Rubbish news
 
Sema basi ila katika hali ya sasa ya kisiasa ccm ilitakiwa kuwa na wabunge wa namna hii, ili kwenda na kasi ya chadema, ila ndo hivyo imeishakula kwao
 
Hujui hata kutunga hadithi. Mkishashiba makande yaliyochacha mnakuja kupumulia humu.
 
Back
Top Bottom