Kwa tathmini yako, ni waziri gani ameshindwa kutimiza wajibu wake kwenye baraza la sasa la mawaziri? Kwanini?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Kila mtu anamtizamo wake kwenye performance ya mawaziri wa sasa. Kama tukiambiwa tupige kura ya waziri mzigo naamini utakuwa na chaguo lako. Pamoja na tathimini yako bado internally within cabinet kuna potentials alizonazo huyo unayefikiri ni mzigo.

Tuambie pamoja na potentials zilizojificha nani unadhani kwa utendaji wake alionao kwa kipindi alichopewa uwaziri kwako wewe ni ziro? Kwanini?

Mimi kwangu Prof Kitila Mkumbo kwenye mipango ya nchi hii na mikakati ya 2060 tuliyonayo si mtu sahihi kabisa. Hana mikakati au vision inayoendana na wizara yake. May be apangiwe Sehemu nyingine.

Wa pili ni waziri wa utalii na mwingine ni waziri mwenye dhamana ya madini. May be Wana internal capability ambazo wanashindwa kuzionyesha nje ila hapana bado, wizara zina wazidi. Mfano madini its like bado doto ndiye mwenye wizara huku Maliasili pakipwaya afadhali apelekwe Dr. Ndumbaru anaweza akachangamsha genge kabla meli ya utalii haijashuka
 
Tatizo siyo mawaziri bali CCM ni wezi👇
 
Kila mtu anamtizamo wake kwenye performance ya mawaziri wa sasa. Kama tukiambiwa tupige kura ya waziri mzigo naamini utakuwa na chaguo lako. Pamoja na tathimini yako bado internally within cabinet kuna potentials alizonazo huyo unayefikiri ni mzigo...
Huyo Kitila ni ovyo kabisa na Degree zake za sociology.Kwanza ata Wawekezaji wakija naona huwa wanashangaa,unampaje mtu wa sociology Wizara ya kimkakati!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa utalii ....nashangaa huyu labda sababu zbar wake kwa baba zaidi huwa kilaza pro max.......namjua vzr sana....wangempa wizara rahisi gender huko au ajira....
 
Kila mtu anamtizamo wake kwenye performance ya mawaziri wa sasa. Kama tukiambiwa tupige kura ya waziri mzigo naamini utakuwa na chaguo lako. Pamoja na tathimini yako bado internally within cabinet kuna potentials alizonazo huyo unayefikiri ni mzigo...
Mi nadhani waziri mkuu kivuli ndugu zito kabwe ndio tatizo, huyu ajiuzulu mapema iwezekanavyo.Full stop.
 
Mambo ya kuvimbiwa
MTN.jpeg
 
Back
Top Bottom