Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,666
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.

Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.

Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.

Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
 
Pamoja na haya yote lakini bado wanaogopa kuwa na tume huru, halafu pamoja na hiyo tume yao isiyokuwa huru bado wanatumia vyombo vya usalama kupora kura! Kuna haja gani sasa ya kufanya unafiki wote huu wakati tunajua kabisa hawamkupenda Magufuli na walifurahi sana alipofariki?
 
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.

Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.

Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.

Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Saa 100 angepumzika tuuuuu....ngoma nzito sana kwake...
 
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.

Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.

Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.

Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Hakuna mtoto wa Magufuli aliekuwa anapenda siasa hawakujihusisha na mambo hayo ondoa hofu
 
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.

Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.

Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.

Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Kalemani amekubaki kutogombea tena?
 
Huyo jamaa kama ndio yule aliyesoma hotuba siku ya kumuaga baba yake, nilimuona mtu asiye na interest kabisa na siasa, hata kuongea ni mzito, japo najua kwa CCM wakiamua hata kuliweka jiwe hakuna kitakachoshindikana kwao kupata ushindi.
 
Magufuli hakuacha mtoto anae weza simama jukwaani akajinadi mkuu uo ni uwongo ila wakifanikiwa kumpata mmoja tu aje hapa chato anaweza pata kura nyingi

Tatzo watoto hawana fiundation nzuri kijijini mwa baba yao,

Labda wamlete furaha aliyeshindwa kumalizia majengo yake ya apatment hapo chato kwa sababu mrija wa wizi wa fedha za umma ulio kuwa umejengwa na mjomba wake ulikatwa na Mwenyezi Mungu.

Na kwa kuwa fraha alishiriki kumuua mjomba wake kwa kumdanganya yakuwa hakuna corona nchini,ikumbukwe alikuwa mahabara na yeye ndo alipima papa,mbuzi na Daftari akadai navyo vinaonesha vinacorona mwishowe mzirakende nae akauvaa dadeki akasepeshwa na Sir God,akipwa nafasi ya ubunge lazima na yeye atasepeshwa.

Ingawa mjomba wake,vile vifo vya kwenye viroba na kutupwa vichakani vilimkera Mungu pia ilo nalo likampunguzia sifa ya kuendelea kuishi duniani

Nina mengi hacha niishie hapa sifi leo kutoka
Chato karbu na kaburi la Magufuli.
 
Hahahaa, msalimie Mzee Kaswahili na Mgangaji a.k.a Mzee Mambo
 
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.

Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Asipokuwa makini atatumika na mwisho kudharaulika kama toilet paper
 
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.

Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.

Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.

Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Kigezo cha Wadanganyika kupiga kura ni mvuto wa mgombea badala ya sera za maendeleo.
 
Back
Top Bottom