Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,278
- 37,074
Ni kutokana na hofu ya kusambaratika.
Ishara za kumegwa na kumeguka kwa chadema left, right and center ni dhahiri. Mathalani kwa upande ule kuna kundi la wanaojiita sauti ya wananchi, upande huu kuna kundi la wanaojiita wazawa chadema patriotic front wakiwa na chairman, lakini pia upande ule kuna kundi la wale wanaojulikana kama intruders ambao pia wanatiliwa shaka kuwa ni vibaraka wa mabwenyenye kutoka ng'ambo hawa wapo na vice chairman.
Halafu sasa hapo kati, haijulikani hata ametokea upande gani, lakini yupo na anazungumzwa mno ndani ya Chadema, ndugu makonda.
Na kwamba eti huyu ndie anae imega Chadema.
Ama kwa hakika vuguvugi la mabadiliko nchini limesababisha fukuto lenye kulenga kusambaratisha uhai , uimara na pumzi ya Chadema.
Wafuasi wake wamejawa hofu, hawana uhakika wa kesho ya Chama chao wanachokipenda kweli kweli.
Hawaelewi wajiunge left, right au center. Yaani waungane kwa Dr Slaa ama Chairman au vice chairman? Wanachama, mashabiki na wakereketwa wa Chadema wapo dilemma, wamejawa na sintofahamu nyingi...
Tafadhali,
Ndugu mdau wa demokrasia, hembu toa ushauri mujarabu kwa wadau hawa muhimu wa demokrasia nchini Tanzania.