Jukumu la Ubunifu wa vyanzo vya Mapato halmashauri ni la DED au Madiwani? Wabunge wa CCM msikwepe majukumu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,972
141,982
Kwanza ikumbukwe kuwa mbunge ni Diwani na ni Mjumbe wa Kamati ya Fedha ya Halmashauri

Jana Wabunge wamewatupia lawama Wakurugenzi wa Halmashauri Kwamba hawana Ubunifu wa kubuni vyanzo vya Mapato ndio sababu Halmashauri nyingi zimedorora na zinasuasua

Ndio najiuliza kwani Kazi ya Madiwani ni nini?

Mbona 2015 baada ya Chadema kupata Halmashauri kadhaa Madiwani wake walikuwa wanabuni vyanzo vya Mapato na Miradi na kuvisimamia?

Au Madiwani wa CCM siyo Wasomi ndio sababu mnataka kujifichia kwa Mkurugenzi?

Na wewe mbunge wa CCM mfano Dr Gwajima PhD pale Kinondoni umebuni nini zaidi ya mashindano ya mchezo wa REDE?

Nawatakia Dominica Njema 😄🔥
 
Back
Top Bottom