Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly
At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist
20...
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa...
Nadhani CHADEMA waanze kutuandalia Mgombea mwingine wa Rais kama ni Mbowe au nani ieleweke mapema.
Siyo rahisi Watanzania kumchagua mtu anayeishi nje ya nchi kwa muda mrefu.
Ni angalizo tu!
Kwa takribani wiki kadhaa tangu Makonda ateuliwe/ achaguliwe kuwa Katibu Mwenyezi Taifa, nimeona kuna kitu chema ndani yake kinakuja kuponya au kuleta unafuu wa makovu ya Watanzania yaliyotokana...
Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa...
ANANDIKA: MUUMINI WA UJAMAA -Juma George
Upinzani ni MZURI, Upinzani UNAJENGA, UPINZANI unatuweka IMARA. KUISHI bilaY UPINZANI katika maisha NI HATARI SANA, lakini kuwa na upinzani kama huu wa...
Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.
Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.
Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.
Kina...
Na. M. M. Mwanakijiji
Hakuna sababu ya msingi ya kuzuia maandamano ya kisiasa Tanzania. Mikusanyiko ya mikutano ya kisiasa haiitaji kufanywa iwe migumu kiasi kwamba ionekane Serikali haina uwezo...
Na baada ya mwalimu Nyerere kuukataa Ushauri wa Mzee Edwin Mtei ndio tukaingia kwenye dimbwi la Umaskini
Afadhali sasa CCM ndio imeuchukua Ushauri ule wa mzee Mtei wa miaka 40 iliyopita na Nchi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi na kuvunja bodi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Balozi James Gilawa Bwana kuwa Balozi wa Jamhuri ya...
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.
---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeendelea kutoa motisha ya kifedha na isiyo ya kifedha kwa watumishi wote ikiwemo...
Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele...
Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu.
Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi?
Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
Kama tulivyowaahidi kwamba tutachukua hatua za haraka za kisheria kwa OCD Mbeya kwa kitendo chake cha kumkamata kinyume na sheria kisha kumpiga na kumchania nguo katibu wa CHADEMA kanda ya Nyasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Katika kile kinachoonekana ni shift of economic powers baina ya Mikoa,Mkoa wa Mwanza na Jiji la Mwanza kiujumla vimezidi kuporomoka kiuchumi na hivyo kuondoa ushawishi...
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema Hakmashauri ya Jiji la Dar es salaam imeongoza kwenye makusanyo ya Mapato kitaifa.
Ummy amesema Jiji la Dar es salaam limekusanya zaidi ya tsh 67 bilioni...