Paul Makonda piga kazi ila tu zingatia yafuatayo!

Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
1,422
4,730
Siku zote nyota njema hung'aa tu hata kiza kikiwa kinene. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna watanzania wengi wanakukubali sana comred Paul. Japo kuna machache yakuzingatia ili ufike mbali zaidi.

Jitahidi kuwa mnyenyekevu hata pale unapotoa maagizo kwa walio chini yako. Hii itakufanya ukubalike zaidi na kila kundi rika.

Jenga mazoea ya kujifunza zaidi kwa waliokutangulia hata kama unawazidi weredi na marifa.

Kabla ya kutoa maagizo hakikisha una wasiliana na watendaji husika ili kuondoa utata kwenye utekelezaji wa maagizo uliyoyatoa.

Ukisikiliza ushauri mzuri wa wanaokukubali na kukuunga mkono, hakika utafanikiwa zaidi na zaidi. Piga kazi baba wa upendo.
 
Jitahidi kuwa mnyenyekevu hata pale unapotoa maagizo kwa walio chini yako. Hii itakufanya ukubalike zaidi na kila kundi rika

Ukisikiliza ushauri mzuri wa wanaokukubali na kukuunga mkono, hakika utafanikiwa zaidi na zaidi. Piga kazi baba wa upendo!

hilo ni Jambo la mwanzo sana kufanyika hata kabla hajatangazwa kua muenezi.

Lakini pia linafanyika sana na wanawasiliana wakicheka pamoja na pia wanaandaana kabisa kwamba my friend kwenye ziara zangu eneo flani ntakuchana hadharani kuhusu jambo flani....
Baraka zinatolewa utekelezaji unafanyika...

Lengo ni kumake sure, general public wanachotwa vilivyo saikolojikali kwenye mtungi wa chama Tawala na Imani yao kwa chama chao inaimarika zaidi....
 
Mim na swal.ajenge uelewa kwa vipi maana likitokea jambo anamtafuta muhusika anauliza majibu.au kuna sehem hakuuliza. Nauliza hiv sabab toka ziara zianze nimekua nafuatilia ayo tv saa nyingine global online sijui tv sijaona mahali.ushaur mzur ila
 
hilo ni Jambo la mwanzo sana kufanyika hata kabla hajatangazwa kua muenezi.

Lakini pia linafanyika sana na wanawasiliana wakicheka pamoja na pia wanaandaana kabisa kwamba my friend kwenye ziara zangu eneo flani ntakuchana hadharani kuhusu jambo flani....
Baraka zinatolewa utekelezaji unafanyika...

Lengo ni kumake sure, general public wanachotwa vilivyo saikolojikali kwenye mtungi wa chama Tawala na Imani yao kwa chama chao inaimarika zaidi....
Haya mambo ya kuchotwa akili yalishapitwa na wakati. Sio kwa zama hizi tena
 
Una akili nyingi Sana. Uwezo wako wa kuyasoma yaliyofichwa upo juu. TANZANIA sihami
 
Siku zote nyota njema hung'aa tu hata kiza kikiwa kinene. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna watanzania wengi wanakukubali sana comred Paul. Japo kuna machache yakuzingatia ili ufike mbali zaidi.

Jitahidi kuwa mnyenyekevu hata pale unapotoa maagizo kwa walio chini yako. Hii itakufanya ukubalike zaidi na kila kundi rika.

Jenga mazoea ya kujifunza zaidi kwa waliokutangulia hata kama unawazidi weredi na marifa.

Kabla ya kutoa maagizo hakikisha una wasiliana na watendaji husika ili kuondoa utata kwenye utekelezaji wa maagizo uliyoyatoa.

Ukisikiliza ushauri mzuri wa wanaokukubali na kukuunga mkono, hakika utafanikiwa zaidi na zaidi. Piga kazi baba wa upendo.
Big up bro,kama ana watu wake wa karibu na wampe hii massage asome mwenyewe
 
Magufuli alikuwa anaambiwa hivyo hivyo Piga kazi lakini Mwisho wake ukawa kulala chato
Acheni kumpa sifa za uongo Makonda kwa kudhalilisha watu

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Bora ukalala kwa kuusema ukweli kuliko kunyamazia ukweli na kulala utalala tu,

Wewe endelea kuwa muoga na mkimya utaishi milele hapa duniani
 
Haya mambo ya kuchotwa akili yalishapitwa na wakati. Sio kwa zama hizi tena
its among the famous policall technics to win the surport of the popolation.
And there is no alternative to this, because it works very well and has very positive impacts....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom