Dkt. Bashiru bado hajaitoa ripoti ya wizi wa mali za CCM

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,920
31,161
Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.

Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani.

Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana.

Ni hayo tu kwa leo msifikiri mchezo hadi kamati kukaa na kuamua kupiga kimya maana kila anayejaribu kupayuka ana madoa doa kibao.

Dkt. Ngongo, nimekwama kutoa press release baada ya kugundua nina madudu kibao.
 
1669131285029.png
 
Back
Top Bottom