Chama kimeshika hatamu; Makonda katika nyayo za wanene wa CCM miaka ya 1980

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
879
2,753
Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani Mkubwa mwenye uwezo wa kumuagiza mwingine afanye jambo katika mfumo huu wa vyama vingi hivi leo,je nani kati ya Waziri na Katibu Mkuu wa CCM anaweza kumuigiza mwenzake? nani kati ya Waziri wa Serikali na Katibu Mwenezi wa CCM Taifa anaweza kumuagiza mwenzake?

Kwa mfumo tulio nao sasa hivi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa ana nguvu zaidi ya Mkuu wa Mkoa,Fitina za Mwenyekiti zina nguvu kuliko za Mkuu wa Mkoa,kuna usemi "atakayemgusa mwanachama wa CCM atakiona lakini hausemi atakaemgusa muajiriwa wa serikali atakiona cha mtema kuni".Kwa utaratibu wa sasa Mwenyekiti wa CCM akipata uteuzi inabidi ajiuzulu aende kwenye utumishi mpya,wakati wa Awamu ya tano,enzi za Rais John Magufuli tuliona uteuzi wa Mh Zambi wa Lindi na Mh Chalamila kutoka Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa hadi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na leo Mkuu wa Mkoa wa DSM.Je, kiitifaki na kimadaraka yupi yuko juu ya mwenzie kati ya Mwenye ilani na yule anayetekeleza ilani.

Zamani uteuzi kama huo ulikuwa ni kushuka chini ila siku hizi kupanda ni kupanda juu,Jibu ni rahisi tu angalia mfano RC Dar, na mwenyekiti ccm Dar, kipato, fursa, status, ulinzi nk, Miaka ya 1980 hadi miaka ya 1990 Mnene wa Chama CCM ngazi ya Wilaya tu basi Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya walikoma kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama ila siku hizi usishangae Mwenyekti wa CCM Mkoa anaomba mafuta ya gari kwa Mkuu wa Mkoa,je hapo nani atamnyenyekea mwenzie? Miaka hiyo ya 1980 hadi 1990 Usalama wa Taifa wa Wilaya DSO akitaka azungumze na Katibu wa CCM Wilaya alikuwa hamuiti ofisini kwake bali aliomba kuja ofisini kwa Katibu wa CCM tena kwa Appoitment, Chama kiliongoza Serikali na organ zake.

Nimalizie kwa pongezi nyingi kwa Mh Paul Makonda,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa,kwa kukirudisha chama kwenye njia yake kusimamia uwajibikaji sawa sawa na ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere,Mwenezi anaonyesha njia bora za utendaji kwa watendaji wa chama kuonyesha chama kinajali yale mapungufu viongozi wake wayoyatenda ili kuwavutia wananchi kubaki na matumaini kwamba chama kinamipango mizuri lakini watendaji ndio wanakiangusha hivyo anaibua matumaini mapya kwa wananchi kukionyesha chama kuwa kinaelekeza kwa usahihi yale yote yanapaswa kufanyika usawa, jinsia, utetezi, utendaji ulitukuka kwa wananchi kusilikiza kero zao na kuimarisha Serikali ili kuongeza wananchama na kuongeza mvuto na ushawishi kwenye chama cha mapinduzi,Makonda yuko sahihi sana kabisa na aendelee kabisa kutoa matamko.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani Mkubwa mwenye uwezo wa kumuagiza mwingine afanye jambo katika mfumo huu wa vyama vingi hivi leo,je nani kati ya Waziri na Katibu Mkuu wa CCM anaweza kumuigiza mwenzake? nani kati ya Waziri wa Serikali na Katibu Mwenezi wa CCM Taifa anaweza kumuagiza mwenzake?.

Kwa mfumo tulio nao sasa hivi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa ana nguvu zaidi ya Mkuu wa Mkoa,Fitina za Mwenyekiti zina nguvu kuliko za Mkuu wa Mkoa,kuna usemi "atakayemgusa mwanachama wa CCM atakiona lakini hausemi atakaemgusa muajiriwa wa serikali atakiona cha mtema kuni".Kwa utaratibu wa sasa Mwenyekiti wa CCM akipata uteuzi inabidi ajiuzulu aende kwenye utumishi mpya,wakati wa Awamu ya tano,enzi za Rais John Magufuli tuliona uteuzi wa Mh Zambi wa Lindi na Mh Chalamila kutoka Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa hadi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na leo Mkuu wa Mkoa wa DSM.Je, kiitifaki na kimadaraka yupi yuko juu ya mwenzie kati ya Mwenye ilani na yule anayetekeleza ilani.

Zamani uteuzi kama huo ulikuwa ni kushuka chini ila siku hizi kupanda ni kupanda juu,Jibu ni rahisi tu angalia mfano RC Dar, na mwenyekiti ccm Dar, kipato,fursa,status, ulinzi nk,Miaka ya 1980 hadi miaka ya 1990 Mnene wa Chama CCM ngazi ya Wilaya tu basi Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya walikoma kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama ila siku hizi usishangae Mwenyekti wa CCM Mkoa anaomba mafuta ya gari kwa Mkuu wa Mkoa,je hapo nani atamnyenyekea mwenzie? Miaka hiyo ya 1980 hadi 1990 Usalama wa Taifa wa Wilaya DSO akitaka azungumze na Katibu wa CCM Wilaya alikuwa hamuiti ofisini kwake bali aliomba kuja ofisini kwa Katibu wa CCM tena kwa Appoitment,Chama kiliongoza Serikali na organ zake.

Nimalizie kwa pongezi nyingi kwa Mh Paul Makonda,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa,kwa kukirudisha chama kwenye njia yake kusimamia uwajibikaji sawa sawa na ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere,Mwenezi anaonyesha njia bora za utendaji kwa watendaji wa chama kuonyesha chama kinajali yale mapungufu viongozi wake wayoyatenda ili kuwavutia wananchi kubaki na matumaini kwamba chama kinamipango mizuri lakini watendaji ndio wanakiangusha hivyo anaibua matumaini mapya kwa wananchi kukionyesha chama kuwa kinaelekeza kwa usahihi yale yote yanapaswa kufanyika usawa,jinsia,utetezi,utendaji ulitukuka kwa wananchi kusilikiza kero zao na kuimarisha Serikali ili kuongeza wananchama na kuongeza mvuto na ushawishi kwenye chama cha mapinduzi,Makonda yuko sahihi sana kabisa na aendelee kabisa kutoa matamko.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
Ccm ni chama cha wahalifu, ndio maana muhalifu anapewa nafasi ya kukisafisha.
 
Pole sana ndugu yangu kwa kusoma zaidi lkn huna watu na hujulikani. Hizi digrii hata mbwa wanazo siku hizi. Kuna mbwa anatumiwa na jeshi la Israel kwenye vita na Hamas ana PhD.

Wenye watu hawahangaiki.
1. Nape ana cheti cha diploma tu lkn hivi Sasa ni waziri.
2. Makamba hajawahi kuandika majna au namba yake mitandaoni lkn ndiye mbunge wa Bumbuli na ni waziri.
3. Ridhiwani hajawahi kuandika makala ya kumpongeza kiongozi yeyote lkn ni waziri.

Narudia tena,
Pole sana
 
Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani Mkubwa mwenye uwezo wa kumuagiza mwingine afanye jambo katika mfumo huu wa vyama vingi hivi leo,je nani kati ya Waziri na Katibu Mkuu wa CCM anaweza kumuigiza mwenzake? nani kati ya Waziri wa Serikali na Katibu Mwenezi wa CCM Taifa anaweza kumuagiza mwenzake?

Kwa mfumo tulio nao sasa hivi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa ana nguvu zaidi ya Mkuu wa Mkoa,Fitina za Mwenyekiti zina nguvu kuliko za Mkuu wa Mkoa,kuna usemi "atakayemgusa mwanachama wa CCM atakiona lakini hausemi atakaemgusa muajiriwa wa serikali atakiona cha mtema kuni".Kwa utaratibu wa sasa Mwenyekiti wa CCM akipata uteuzi inabidi ajiuzulu aende kwenye utumishi mpya,wakati wa Awamu ya tano,enzi za Rais John Magufuli tuliona uteuzi wa Mh Zambi wa Lindi na Mh Chalamila kutoka Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa hadi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na leo Mkuu wa Mkoa wa DSM.Je, kiitifaki na kimadaraka yupi yuko juu ya mwenzie kati ya Mwenye ilani na yule anayetekeleza ilani.

Zamani uteuzi kama huo ulikuwa ni kushuka chini ila siku hizi kupanda ni kupanda juu,Jibu ni rahisi tu angalia mfano RC Dar, na mwenyekiti ccm Dar, kipato, fursa, status, ulinzi nk, Miaka ya 1980 hadi miaka ya 1990 Mnene wa Chama CCM ngazi ya Wilaya tu basi Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya walikoma kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama ila siku hizi usishangae Mwenyekti wa CCM Mkoa anaomba mafuta ya gari kwa Mkuu wa Mkoa,je hapo nani atamnyenyekea mwenzie? Miaka hiyo ya 1980 hadi 1990 Usalama wa Taifa wa Wilaya DSO akitaka azungumze na Katibu wa CCM Wilaya alikuwa hamuiti ofisini kwake bali aliomba kuja ofisini kwa Katibu wa CCM tena kwa Appoitment, Chama kiliongoza Serikali na organ zake.

Nimalizie kwa pongezi nyingi kwa Mh Paul Makonda,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa,kwa kukirudisha chama kwenye njia yake kusimamia uwajibikaji sawa sawa na ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere,Mwenezi anaonyesha njia bora za utendaji kwa watendaji wa chama kuonyesha chama kinajali yale mapungufu viongozi wake wayoyatenda ili kuwavutia wananchi kubaki na matumaini kwamba chama kinamipango mizuri lakini watendaji ndio wanakiangusha hivyo anaibua matumaini mapya kwa wananchi kukionyesha chama kuwa kinaelekeza kwa usahihi yale yote yanapaswa kufanyika usawa, jinsia, utetezi, utendaji ulitukuka kwa wananchi kusilikiza kero zao na kuimarisha Serikali ili kuongeza wananchama na kuongeza mvuto na ushawishi kwenye chama cha mapinduzi,Makonda yuko sahihi sana kabisa na aendelee kabisa kutoa matamko.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
Bado hujateuliwa mpaka leo ,Umepiga tarumbeta na kuweka namba ya simu kwa miaka kadhaa

Bado reseach humalizi tu uwe Dr

Mkuu tafuta hela,Nasema wewe huna ela

Mkuu huna fedha au pesa

Umehangaika sana kupiga tarumbeta mpaka umebadili ID kutoka Msemakweli chakubanga mpaja sijui Mwande

Pole sana mkuu,Tafuta pesa
 
Pole sana ndugu yangu kwa kusoma zaidi lkn huna watu na hujulikani. Hizi digrii hata mbwa wanazo siku hizi. Kuna mbwa anatumiwa na jeshi la Israel kwenye vita na Hamas ana PhD.

Wenye watu hawahanghaiki.
1. Nape ana cheti cha diploma tu lkn hivi Sasa ni waziri.
2. Makamba hajawahi kuandika majna au namba yake mitandaoni lkn ndiye mbunge wa Bumbuli na ni waziri.
3. Ridhiwani hajawahi kuandika makala ya kumpongeza kiongozi yeyote lkn ni waziri.

Narudia tena,
Pole sana
JIbu kuntu
 
Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani Mkubwa mwenye uwezo wa kumuagiza mwingine afanye jambo katika mfumo huu wa vyama vingi hivi leo,je nani kati ya Waziri na Katibu Mkuu wa CCM anaweza kumuigiza mwenzake? nani kati ya Waziri wa Serikali na Katibu Mwenezi wa CCM Taifa anaweza kumuagiza mwenzake?

Kwa mfumo tulio nao sasa hivi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa ana nguvu zaidi ya Mkuu wa Mkoa,Fitina za Mwenyekiti zina nguvu kuliko za Mkuu wa Mkoa,kuna usemi "atakayemgusa mwanachama wa CCM atakiona lakini hausemi atakaemgusa muajiriwa wa serikali atakiona cha mtema kuni".Kwa utaratibu wa sasa Mwenyekiti wa CCM akipata uteuzi inabidi ajiuzulu aende kwenye utumishi mpya,wakati wa Awamu ya tano,enzi za Rais John Magufuli tuliona uteuzi wa Mh Zambi wa Lindi na Mh Chalamila kutoka Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa hadi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na leo Mkuu wa Mkoa wa DSM.Je, kiitifaki na kimadaraka yupi yuko juu ya mwenzie kati ya Mwenye ilani na yule anayetekeleza ilani.

Zamani uteuzi kama huo ulikuwa ni kushuka chini ila siku hizi kupanda ni kupanda juu,Jibu ni rahisi tu angalia mfano RC Dar, na mwenyekiti ccm Dar, kipato, fursa, status, ulinzi nk, Miaka ya 1980 hadi miaka ya 1990 Mnene wa Chama CCM ngazi ya Wilaya tu basi Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya walikoma kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama ila siku hizi usishangae Mwenyekti wa CCM Mkoa anaomba mafuta ya gari kwa Mkuu wa Mkoa,je hapo nani atamnyenyekea mwenzie? Miaka hiyo ya 1980 hadi 1990 Usalama wa Taifa wa Wilaya DSO akitaka azungumze na Katibu wa CCM Wilaya alikuwa hamuiti ofisini kwake bali aliomba kuja ofisini kwa Katibu wa CCM tena kwa Appoitment, Chama kiliongoza Serikali na organ zake.

Nimalizie kwa pongezi nyingi kwa Mh Paul Makonda,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa,kwa kukirudisha chama kwenye njia yake kusimamia uwajibikaji sawa sawa na ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere,Mwenezi anaonyesha njia bora za utendaji kwa watendaji wa chama kuonyesha chama kinajali yale mapungufu viongozi wake wayoyatenda ili kuwavutia wananchi kubaki na matumaini kwamba chama kinamipango mizuri lakini watendaji ndio wanakiangusha hivyo anaibua matumaini mapya kwa wananchi kukionyesha chama kuwa kinaelekeza kwa usahihi yale yote yanapaswa kufanyika usawa, jinsia, utetezi, utendaji ulitukuka kwa wananchi kusilikiza kero zao na kuimarisha Serikali ili kuongeza wananchama na kuongeza mvuto na ushawishi kwenye chama cha mapinduzi,Makonda yuko sahihi sana kabisa na aendelee kabisa kutoa matamko.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
Hivi hebu tuulizane waTanzania Hawa walioko bungeni kwa siku chache zilizopita wamekuwa na kelele za kuashiria wizi ufisadi na kutowajibishwa kwa wahusika.
Haya yanayoendelea Sasa kwa mwenezi unadhani ni kukomesha au kuchafuana kwani mashida za watu nyingi zinatokana na hao hao wenyewe wenye mamlaka!
Pagumu kaJiwe!
 
Nimalizie kwa pongezi nyingi kwa Mh Paul Makonda,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa,kwa kukirudisha chama kwenye njia yake kusimamia uwajibikaji sawa sawa na ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere,Mwenezi anaonyesha njia bora za utendaji kwa watendaji wa chama kuonyesha chama kinajali yale mapungufu viongozi wake wayoyatenda ili kuwavutia wananchi kubaki na matumaini kwamba chama kinamipango mizuri lakini watendaji ndio wanakiangusha hivyo anaibua matumaini mapya kwa wananchi kukionyesha chama kuwa kinaelekeza kwa usahihi yale yote yanapaswa kufanyika usawa, jinsia, utetezi, utendaji ulitukuka kwa wananchi kusilikiza kero zao na kuimarisha Serikali ili kuongeza wananchama na kuongeza mvuto na ushawishi kwenye chama cha mapinduzi,Makonda yuko sahihi sana kabisa na aendelee kabisa kutoa matamko.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
Mkuu Mwande mdewa, asante sana kutuletea hii makala ya Msemakweli Chakubanga.
Enzi za Nyerere na Mwinyi, mfumo wa utawala wa taifa letu ulikuwa ni mfumo wa Party Supremacy, ambapo chama ndio kulikuwa kimeshika hatamu kuongoza serikali, hivyo viongozi wa serikali walikuwa na kofia mbili, wakuu wa mikoa ndio viongozi wa CCM wa mkoa na waliingia Bungeni. Kulikuwa mpaka kuna mkoa wa majeshi!, jeshi lilikuwa ni Idara ya chama na kulikuwa na ma kamisaa wa chama jeshini.

Mwaka 1992 tulipoingia mfumo wa vyama vingi, huo ndio ulikuwa mwisho wa party supremacy na kofia mbili, chama ni chama na serikali ni serikali, siasa ikaondolewa jeshini. Kofia mbili zilikuja kubaki kwa rais tuu wa JMT.

Tulianza mfumo wa Parliamentary Supremacy ambapo CCM kinatoa ilani ya uchaguzi kwa serikali kuitekeleza, Bunge ndio linaisimamia serikali.

Ufuatiliaji wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ndio kazi ya Mwenezi, lakini utaratibu wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa serikali ni kwa mtindo wa "Eyes on Hands Off", kwa CCM kufuatia utekelezaji kwa eyes on, hivyo hiki anachokifanya Mwenezi Paul Makonda kufuatia utekelezaji wa ilani ndio kazi yake rasmi kwa kuona kwa macho na kuzungumza na wananchi, na watekelezaji wa ngazi ya chini, kuhusu kero zao mbalimbali.

Baada ya kuona na kusikia hatua za utekelezaji wa ilani, zinafuatiliwa kupitia vikao vya CCM kuanzia shina, tawi, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa, mwenezi taifa anapaswa kupokea taarifa za waenezi wenzake toka chini, kuyaandika na kuyapeleka kwenye vikao vya rasmi vya chama kitataifa na kule ndipo chama kinajadili na kutoa maelekezo ambapo kazi ya Mwenezi ni kuyatangaza maamuzi na maelekezo ya chama kwa watendaji wa serikali na sio Mwenezi kutoa maagizo na ultimatum kwa watendaji wa serikali akiwemo Waziri Mkuu na mawaziri, hiyo sio jukumu la Mwenezi ni jukumu la mamlaka yao ya uteuzi na nidhamu ambayo ni Rais wa JMT.

Sehemu ambapo Konda Boy anajichanganya ni kwa vile Rais Samia ndie Mwenyekiti wa CCM, na yeye ndie msemaji wa CCM, anatoa maagizo kwa viongozi wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu na mawaziri ikiwemo kuwapa ultimatums kutoka kwa Rais Samia kama Mwenyekiti wa CCM, wakati Rais Samia anaweza kutoa maelekezo na ultimatums kwa watendaji wa serikali kama Rais wa JMT na sio Mwenezi kuivaa kofia ya rais wa JMT na ku summons mawaziri na kuwapa ultimatums akiwemo Waziri Mkuu!. That is wrong!. Huku ni ku overstepping over and above mamlaka yake, ni Rais wa JMT pekee ndie mwenye uwezo to summon ministers na kutoa ultimatums kwa Waziri Mkuu and not anyone else!. Hata Bunge haliwezi kum summon Waziri Mkuu na kumpa ultimatums bali linaweza kufanya hivyo kwa serikali. Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

P.
 
Huyo makonda hakuna chcht atakachokibadilisha Zaid ya kupigaa blaa blaaa tu ..

Anapiga kelele za kuita mwizi Kwenye nyumba wezii..
 
Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani Mkubwa mwenye uwezo wa kumuagiza mwingine afanye jambo katika mfumo huu wa vyama vingi hivi leo,je nani kati ya Waziri na Katibu Mkuu wa CCM anaweza kumuigiza mwenzake? nani kati ya Waziri wa Serikali na Katibu Mwenezi wa CCM Taifa anaweza kumuagiza mwenzake?

Kwa mfumo tulio nao sasa hivi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa ana nguvu zaidi ya Mkuu wa Mkoa,Fitina za Mwenyekiti zina nguvu kuliko za Mkuu wa Mkoa,kuna usemi "atakayemgusa mwanachama wa CCM atakiona lakini hausemi atakaemgusa muajiriwa wa serikali atakiona cha mtema kuni".Kwa utaratibu wa sasa Mwenyekiti wa CCM akipata uteuzi inabidi ajiuzulu aende kwenye utumishi mpya,wakati wa Awamu ya tano,enzi za Rais John Magufuli tuliona uteuzi wa Mh Zambi wa Lindi na Mh Chalamila kutoka Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa hadi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na leo Mkuu wa Mkoa wa DSM.Je, kiitifaki na kimadaraka yupi yuko juu ya mwenzie kati ya Mwenye ilani na yule anayetekeleza ilani.

Zamani uteuzi kama huo ulikuwa ni kushuka chini ila siku hizi kupanda ni kupanda juu,Jibu ni rahisi tu angalia mfano RC Dar, na mwenyekiti ccm Dar, kipato, fursa, status, ulinzi nk, Miaka ya 1980 hadi miaka ya 1990 Mnene wa Chama CCM ngazi ya Wilaya tu basi Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya walikoma kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama ila siku hizi usishangae Mwenyekti wa CCM Mkoa anaomba mafuta ya gari kwa Mkuu wa Mkoa,je hapo nani atamnyenyekea mwenzie? Miaka hiyo ya 1980 hadi 1990 Usalama wa Taifa wa Wilaya DSO akitaka azungumze na Katibu wa CCM Wilaya alikuwa hamuiti ofisini kwake bali aliomba kuja ofisini kwa Katibu wa CCM tena kwa Appoitment, Chama kiliongoza Serikali na organ zake.

Nimalizie kwa pongezi nyingi kwa Mh Paul Makonda,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa,kwa kukirudisha chama kwenye njia yake kusimamia uwajibikaji sawa sawa na ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere,Mwenezi anaonyesha njia bora za utendaji kwa watendaji wa chama kuonyesha chama kinajali yale mapungufu viongozi wake wayoyatenda ili kuwavutia wananchi kubaki na matumaini kwamba chama kinamipango mizuri lakini watendaji ndio wanakiangusha hivyo anaibua matumaini mapya kwa wananchi kukionyesha chama kuwa kinaelekeza kwa usahihi yale yote yanapaswa kufanyika usawa, jinsia, utetezi, utendaji ulitukuka kwa wananchi kusilikiza kero zao na kuimarisha Serikali ili kuongeza wananchama na kuongeza mvuto na ushawishi kwenye chama cha mapinduzi,Makonda yuko sahihi sana kabisa na aendelee kabisa kutoa matamko.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
They talk too much, but are saying nothing, they are just giving out hot air! Mambo ya chama kushika hatamu, kama mfumo wa China, au Russia, yangekuwa na maaana kama lengo ni kuikuza Tanzania katika nyanja zote, usalama,uchumi, tekinoloji, lakini hii ya CCM kushika hatamu, ni kulinda kikundi cha majizi yaliyojaa jeshini, tamisemi, ikulu, bungeni, mpaka kwenye mifumo ya sheria.
Juzi nilisimuliwa, kama unaendesha biashara ya baa, kuna watu kibao inabidi uwaonge, uwe unatoa rushwa ili Mambo yaendelee,tena kila siku,polisi wanachukua 60K kila siku, Watakuja NEMC, OSHA, na wapuuzi wengine,
Kwahiyo anachofanya Makonda, hakina maaana yoyote kwa maisha ya mwananchi, Ila kina maana kwa genge LA majizi ya CCM
 
Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction
Kwanini mnaandika namba za simu kwenye nyuzi zenu wewe na yule lukasi
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom