Mpaka sasa Bashiru Ally ndio kiongozi mwenye uthubutu, na CCM inajua

wazagamba nkoko

JF-Expert Member
Nov 23, 2021
392
998
Bashiru Ali kasema hadharani bila kupepesa macho wala haya kusema kinachofanyika kwa wakulima wadogowadogo si sahihi na kuna haja ya watawala kufanyia kazi mtazamo wake,sio kutumia nguvu kuzima hoja yake,tena kwa kumkejeri.

Ni wachache nchi hii wenye uthubutu wa kuzungumza kama alivyofanya Bashiru,wengi huishia kusemea vichochoroni

Tujikumbushe kina, Kinana, January, Nape na Kina Ngereja, huyu katoka hadharani kabisa.

Hapa ndio unajua sifa ya CCM ni Majungu, ili tuvuke kuna haja ya chama hiki kupasuka mapande mawili ili nchi ikomboke,kwa gharama yoyote ile.

Mambo yanakwenda ndivyo sivyo,

Nakumba Spika wa bunge,Tulia Ackson alisikika huko mbeya akihamasisha vijana msema vibaya rais Samia washughulikiwe,hakukua na response yoyote toka kwa wanaccm ingawa kushughilikiwa kwa vijana hao haikufafanuliwa.

Bashiru kasimama na wakulima wadogowadogo kupambania haki zao kaonekana adui mkubwa kwa taifa.

Je, ndani ya CCM hakuna kukosoana? Hii ndio imefanya Luhaga Mpina kuenguliwa unec? Miompinga Magufuli mnatouti gani naye?

Nakumbuka wana-CCM mlishindwa kuvaa sare zenu hadharani, mkaokolewa na mwendazake, kaacha kawaimarisha mnarudi kulekule.

Mwisho namuomba Bashiru Ali aishee ile ripoti ya mali za CCM kabla hawajamkolimba,ili ccm wapinzani tutaitumia wakati wa kampeni za hawa majizi CCM kuyakosesha mvuto na kura kwa wananchi, yakilazimisha ushindi safari hii nchi iingie kwenye machafuko tu ili tuheshimiane.
 
bashiru huyu ana uthubutu????!!!!???, mi naona ni chuki na tamaa ya madaraka ndiyo inamuongoza, alikuwa kiongozi mkubwa tu awamu iliyopita, hatukumsikia kukemea yanayofanywa na utawala ule hata kwa sekunde moja. hao wakulima anaowasemea leo si walikuwapo!!!???!! na taabu zao ni zilezile anazosema leo, yeye akiwa namba tatu nchi hii kwenye uongozi WHAT NOTABLE DID HE DO TO PEASANTS OF THIS COUNTRY???!!!??. tusidanganywe na wanapolitiki, wakulima tujisimamie wenyewe tusisubiri wanasiasa na mihemuko yao kuja kutusemea wakulima. sisi wenyewe tunaweza, wakulima wa korosho walionyesha mfano.
 
Ushasema uongozi uliopita...unafananisha uongozi ule na huu...hakuna mtu wa hali ya chini anaelalamikia uongozi uliopita...

Wakulima tupo pamoja na kiongozi yoyote anaesema ukweli...sisi sio wanasiasa...
 
Kwahiyo, kwa myopic opinion yako, mtu akiishakuwa na madaraka haruhusiwi kukosoa chochote? Kwahiyo, sio Tanzania tu hata Trump anayekosoa sera za Biden wakati alikuwa kiongozihana tofauti na Dk. Bashiru?
 
"wakulima tujisimamie wenyewe,tusisubiri wanasiasa na mihemuko yao kuja kutusemea wakulima".
Point kubwa na ya msingi ya mwanzo wa wiki.
Ubarikiwe sana ndugu Johnson Fundi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo, kwa myopic opinion yako, mtu akiishakuwa na madaraka haruhusiwi kukosoa chochote? Kwahiyo, sio Tanzania tu hata Trump anayekosoa sera za Biden wakati alikuwa kiongozihana tofauti na Dk. Bashiru?
AKOSOE BUT AJITATHMINI KWANZA YEYE ALIFANYA NINI ALIPOKUWA MADARAKANI KUHUSU HILO ANALOLIKOSOA. WAKATI WAKE SIKUWAHI KUMSIKIA A SECOND AKITTEA WAKULIMA ZAIDI YA KUSIFIA NA KUPAMBA BOSS WAKE. TO TELL YOU THE TRUTH BASHIRU AMEKUWA MPOLITIKI LAGHAI TU KAMA WENGINE WENGI, ARUDI KWENYE CHAKI MAY BE HE CAN DO BETTER THERE.
 
Ushasema uongozi uliopita...unafananisha uongozi ule na huu...hakuna mtu wa hali ya chini anaelalamikia uongozi uliopita...

Wakulima tupo pamoja na kiongozi yoyote anaesema ukweli...sisi sio wanasiasa...
HIVI KWANZA NI UKWELI UPI ALIOUSEMA HUYU MTU!!!!! MI NAONA NI SIASA TU ZA KUTUPAKA MAFUTA NA CC TUNASHANGILIA KAMA MAZUZU VILE, NAMKUMBUKA MWL. NYERERE KWA KAULI HII. HIVI SERIKALI HII IMEFANYA NINI KIBAYA CHA KUMDUMAZA MKULIMA NA ANATAKA IFANYE NINI KUUMUINUA MKULIMA. ANAWAAMBIA WAKULIMA WAITISHE SERIKALI, HIVI JIULIZE SERIKALI IMEWAKOSEA NINI WAKULIMA HAWA??!!!??, WAKULIMA WA KOROSHO WALIGOMA KUUZA KOROSHO ZAO BEI ILIPOSHUKA SANA, SERIKALI ILIWALAZIMISHA KUUZA??!!??, MAHINDI YA NYANDA ZA JUU KUSINI YALIKUWA YAOZEA MAGHALANI, LEO YANAOZA??!!??. WEWE NENDA KWA WAKULIMA KIJIJINI KWENU FANYA UTAFITI KWA BABU NA BIBI ZAKO WAKUELEZE VIZURI NI WAPI SERIKALI INAWAKOSEA WAKULIMA, NDIO UJE HAPA TUJADILI TUIKOSOE SERIKALI TUKIWA NA HOJA AMBAZO TUNA UHAKIKA NAZO, TUSIDANDIE MANENO YA WANASIASA. UONGOZI ULIOPITA ULIMUINUAJE MKULIMA??!!??, MBOLEA ILIPANDA BEI MARA DUFU, KOROSHO ILIKOSA SOKO,PAMBA HAIKULIMWA KWA KIWANGO CHAKE. NDG ZANGU THIS COUNTRY IS OURS TUSIWAACHE WANASIASA WATUFANYE MABOLIZOZO
 
Kama kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa hili...babu yangu mpaka sasa hv hana v8...huoni kuna shida hapo kidogo mkuu....

Kilimo ni pesa mkuu...Huna pesa utababaisha tu...nenda marekani kaangalie maisha ya wakulima wao....ni matajiri...halafu waulize serikali yao inawafanyia nini....halafu linganisha na kwetu halafu uje tujadili km Bashiru alichosema hakina maana...
 
Bashiru Ali kasema hadharani bila kupepesa macho wala haya kusema kinachofanyika kwa wakulima wadogowadogo si sahihi na kuna haja ya watawala kufanyia kazi mtazamo wake,sio kutumia nguvu kuzima hoja yake,tena kwa kumkejeri.

Ni wachache nchi hii wenye uthubutu wa kuzungumza kama alivyofanya Bashiru,wengi huishia kusemea vichochoroni

Tujikumbushe kina, Kinana, January, Nape na Kina Ngereja, huyu katoka hadharani kabisa.

Hapa ndio unajua sifa ya CCM ni Majungu, ili tuvuke kuna haja ya chama hiki kupasuka mapande mawili ili nchi ikomboke,kwa gharama yoyote ile.

Mambo yanakwenda ndivyo sivyo,

Nakumba Spika wa bunge,Tulia Ackson alisikika huko mbeya akihamasisha vijana msema vibaya rais Samia washughulikiwe,hakukua na response yoyote toka kwa wanaccm ingawa kushughilikiwa kwa vijana hao haikufafanuliwa.

Bashiru kasimama na wakulima wadogowadogo kupambania haki zao kaonekana adui mkubwa kwa taifa.

Je, ndani ya CCM hakuna kukosoana? Hii ndio imefanya Luhaga Mpina kuenguliwa unec? Miompinga Magufuli mnatouti gani naye?

Nakumbuka wana-CCM mlishindwa kuvaa sare zenu hadharani, mkaokolewa na mwendazake, kaacha kawaimarisha mnarudi kulekule.

Mwisho namuomba Bashiru Ali aishee ile ripoti ya mali za CCM kabla hawajamkolimba,ili ccm wapinzani tutaitumia wakati wa kampeni za hawa majizi CCM kuyakosesha mvuto na kura kwa wananchi, yakilazimisha ushindi safari hii nchi iingie kwenye machafuko tu ili tuheshimiane.
Post nzuri ya kufungia na kufungua Mwaka!

Well said and Plain truth.....that will save the Nation!

Jiwe la Bashiru limeupiga mzinga wa nyuki na kumtoa "Malkia wa Nyuki" kwa lazima na kuanza kutembelea wananchi kupambana na Bashiru!
 
narudia tena kusema hakina maana kabisa, ruzuku inayowekwa na serikali ya marekani kwa wakulima wake huwezi kuilinganisha na tanzania nchi maskini ya dunia ya tatu. lakini imejitahidi kuweka ruzuku kwenye mbolea, inajenga mabwawa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji, imewapa uhuru wakulima wauze mazao yao kwa yeyote anayefika bei wanayoitaka, iwe ndani ya nchi au nje ya nchi. hivi kaa na wakulima washawishi waitishe/waitukane serikali sina shaka watakuuliza kwa sababu gani??!!??. badala ya kuwashauri waikemee serikali angewashauri waongeze juhudi na maarifa katika kilimo chao ili wazalishe ziada ya kutosha waiuze hapo ndio mafanikio yao yalipo hakuna njia ya mkato whether wameitukana serikali au wameiimbia mapambio
 
Ila ruzuku za chadema ziwe za kutosha wanunue magari lukuki ya kuzunguka mikoani
 
Zito atagombea kupitia Act.
Bashir atagombea kupitia cuf.
Lisu atagombea kupitia cdm.
Kura za upinzani zitagwanywa mno,, ushauri wangu wapinzani wamuachie Lisu apeperushe bendera😕🤭
 
Bashiru Ali kasema hadharani bila kupepesa macho wala haya kusema kinachofanyika kwa wakulima wadogowadogo si sahihi na kuna haja ya watawala kufanyia kazi mtazamo wake,sio kutumia nguvu kuzima hoja yake,tena kwa kumkejeri.

Ni wachache nchi hii wenye uthubutu wa kuzungumza kama alivyofanya Bashiru,wengi huishia kusemea vichochoroni

Tujikumbushe kina, Kinana, January, Nape na Kina Ngereja, huyu katoka hadharani kabisa.

Hapa ndio unajua sifa ya CCM ni Majungu, ili tuvuke kuna haja ya chama hiki kupasuka mapande mawili ili nchi ikomboke,kwa gharama yoyote ile.

Mambo yanakwenda ndivyo sivyo,

Nakumba Spika wa bunge,Tulia Ackson alisikika huko mbeya akihamasisha vijana msema vibaya rais Samia washughulikiwe,hakukua na response yoyote toka kwa wanaccm ingawa kushughilikiwa kwa vijana hao haikufafanuliwa.

Bashiru kasimama na wakulima wadogowadogo kupambania haki zao kaonekana adui mkubwa kwa taifa.

Je, ndani ya CCM hakuna kukosoana? Hii ndio imefanya Luhaga Mpina kuenguliwa unec? Miompinga Magufuli mnatouti gani naye?

Nakumbuka wana-CCM mlishindwa kuvaa sare zenu hadharani, mkaokolewa na mwendazake, kaacha kawaimarisha mnarudi kulekule.

Mwisho namuomba Bashiru Ali aishee ile ripoti ya mali za CCM kabla hawajamkolimba,ili ccm wapinzani tutaitumia wakati wa kampeni za hawa majizi CCM kuyakosesha mvuto na kura kwa wananchi, yakilazimisha ushindi safari hii nchi iingie kwenye machafuko tu ili tuheshimiane.
CHATO pipo...
 
Kwahiyo, kwa myopic opinion yako, mtu akiishakuwa na madaraka haruhusiwi kukosoa chochote? Kwahiyo, sio Tanzania tu hata Trump anayekosoa sera za Biden wakati alikuwa kiongozihana tofauti na Dk. Bashiru?
Ni tofauti kabisa, Trump alikosoa sera za democrats akiwa Bado ni Rais so hana unafiki. Ila Bashiru anapopinga Kusifiwa Rais ilihali watu walikua wanamsifia JPM ila hakuwakataza ni UNAFIKI ambao mtoa mada anaupinga.

Nakumbuka bashe aliwahi ulizwa na Mhe Mdee kwanini bajeti ya kilimo ipo chini akajibu eti Kilimo ni purely private sector na kwamba serikali Haina shamba!! Ila eti baada ya kutoka madarakani Bashiru ndio anagundua kuwa wakulima wana hali ngumu? Shame on Him
 
Ahahahahah

Ahahahahah! Kwasababu ni Mzungu LAZIMA aonekane yupo sawa tofauti na Mbongo! Upo vizuri! Ahahahahah!!!
 
Post nzuri ya kufungia na kufungua Mwaka!

Well said and Plain truth.....that will save the Nation!

Jiwe la Bashiru limeupiga mzinga wa nyuki na kumtoa "Malkia wa Nyuki" kwa lazima na kuanza kutembelea wananchi kupambana na Bashiru!
Kuna wapingaji wake!
 
Back
Top Bottom