Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WATANZANIA WANA IQ NDOGO KULIKO NCHI ZOTE ZA AFRIKA MASHARIKI. Na Thadei Ole Mushi. Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili. Mwaka jana kuna...
13 Reactions
90 Replies
12K Views
Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia. Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi...
6 Reactions
92 Replies
4K Views
Nimeanza kuamini kauli ya Dr Watson kuwa ana wasiwasi na akili ya mtu mweusi. Tumeshindwa kufikiri kwa usahihi, mambo yanayoendelea ni dalili za kushindwa kwetu kufikiri. Ule unga wa msaada...
9 Reactions
83 Replies
10K Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha Watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni: 1. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU. 2...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mgema akisifiwa............ Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Sina mashaka na upeo na uelewa wako katika hili. Naamini wewe unaijua vizuri CCM. Kwa ufupi Sana,Jamaa wamekuweka hapo kutafuta kura za wasukuma. Bahati nzuri kabisa hii ni fursa kwako ya...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kabla ya ujio wa Makonda kama Mkuu wa mkoa wa DSM Watu Wengi waliamini cheo cha Mkuu wa mkoa ni Mwanasiasa Ila RC Makonda akaonyesha Nguvu kamili ya RC kikatiba ndipo Wakuu wa Mikoa na Wilaya...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Moderator hamjanitendea haki uzi wangu kwenda kuunganisha na uzi wa Makonda atakuwa Waziri/Rais. Mada yangu ni tofauti. Naomba niulize swali kabla sijasahau. Je, CCM, kinyago walichokichonga...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nchi zetu za kiafrika uzalendo uko chini sana na hasa hasa kwetu Tanzania Nieleweke neno uzalendo hapa namaanisha ile hali ya mtu kuwa commited kutekeleza majukumu yake kikamilifu kutoka ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
366 Views
"Nilipokosa ubunge wa jimbo la Ubungo, Mzee Membe akanifata na kuniambia tulia kijana wangu. Mwaka 2015 nitakuachia jimbo la Mtama mimi nitakuwa namaliza muda wangu. Kutokana na ukaribu wa Mzee...
18 Reactions
76 Replies
5K Views
Hbr, kwa jinsi ninavyoona mambo yanavyokwenda, uchaguzi ujao utakuwa ni kati ya JPM na wanasiasa, mwanasiasa yeyote atakayetembea ktk nyayo za Hayati Magufuli bila kujali chama chake na nguvu...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Mara apande Baiskeli, mara Troli na saa nyingine unaona kama vile amelazishwa kufanya baadhi ya matukio. Ni kweli CCM ilishakufa na hakuna namna ya kuizindua tena si Makonda wala nani. Kwani...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama unabisha waulize walilofanya kazi na Cleopa Msuya, Sokoine na Salim Ahmed Salim Kumsifia Sifia Kiongozi ilihesabika kama Rushwa na hata Nyerere ilikuwa ukishasema " Zidumu Fikra sahihi za...
2 Reactions
5 Replies
627 Views
Moja ya nchi ambayo ina wananchi wake wanaoishi ugaibuni (USA, German, Italy, France, Canada, Australia, Norway, Spain, Denmark n.k) ni Tanzania. Ukiangalia Watanzania wanaoishi nje ya nchi idadi...
3 Reactions
3 Replies
975 Views
Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya...
24 Reactions
98 Replies
7K Views
Unajua kuna vitu ktk maisha lazima ujiulize. Tangu rais achukue ofisi ya inchi ana hasira na wafanyakazi. Je tutamwelewaje wakati kuna vitu ni vya kawaida ktk utumishi wa umma mfano stahiki za...
37 Reactions
229 Replies
19K Views
Wakuu... Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi. Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Hodi Wana JF, Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake Ili mradi asivunje sheria kwenye mchakato wa hii Katiba Mpya. Wana siasa na wale wote wabobezi wa mambo ya Katiba njoni na hoja za nguvu siyo...
2 Reactions
12 Replies
762 Views
Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu "Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe" NOTE: Ikumbukwe...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…