Mbwembwe za Makonda na Hatma ya Rais Samia

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,032
3,912
Mgema akisifiwa............

Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine

Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.

Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti

Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne

Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.

Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
 
Hapo sasa
 
Attachments

  • 1700031232143.jpg
    1700031232143.jpg
    229.1 KB · Views: 10

samia anajua ana malengo gani naye. kwa nchi za kishenzi kama zetu, hata akimpiga risasi PM, as long as ana support ya samia, hiyo imetoka....
 
AM
Mgema akisifiwa............

Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine

Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.

Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti

Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne

Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.

Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisaM
MAKONDA NI ASSET KUBWA SANA KWA SIASA ZA BONGO WE ANGALIA TU SASAHIVI WAPINZANI WAMEPIGWA GANZI WAMEKOSA MANENO YA KUONGEA NA UCHAGUZI NI MWAKANI UNATEGEMEA WAPINZANI WATAWADANGANYA NINI TENA WANANCHI UONGO WAO UMEFIKA MWISHO CHINI YA MAKONDA
 
......asilimia kubwa ya wanaoanzisha thread za kumponda Makonda humu hawana content au convincing facts juu ya ubaya wa Makonda zaidi ni porojo na ramli tu, kuja kushtuka ccm imeshinda........
.......haya pia yalitokea kwa baba jesca, sisi watu wa mitandaoni tulikuwa bize kutukana na kumkashifu baba j na kujifanya wasomi waelewa mwisho wananzengo wanampa kura anashinda tunarudi na ngonjera kuwa kura ziliibwa.......
.......ukiangalia vizuri Makonda na mbwembwe zake nilijua ataishia kuwashtua hao mnaowataja kwamba wanasombwa lakini kumbe amedraw attention hadi ya wanajf na Sasa anatrend karibu kila social media, hii ni mafanikio kisiasa.......
......my take kama hatumpendi Makonda tuache kumuanzishia nyuzi kila mara hasa kama hatuna facts, manake hapa jf sasaivi kila baada ya masaa kadhaa Uzi wa makonda unapandishwa na hakuna cha maana zaidi ya malalamiko tu kwamba anapata umaarufu..........
 
Ulivokasirika sasa
 
AM

MAKONDA NI ASSET KUBWA SANA KWA SIASA ZA BONGO WE ANGALIA TU SASAHIVI WAPINZANI WAMEPIGWA GANZI WAMEKOSA MANENO YA KUONGEA NA UCHAGUZI NI MWAKANI UNATEGEMEA WAPINZANI WATAWADANGANYA NINI TENA WANANCHI UONGO WAO UMEFIKA MWISHO CHINI YA MAKONDA
Huyo ni mbwa wa kubweka. Ukiona kafunguliwa, asikusumbue msome mwenye mbwa. Ukiangaika na mbwa itakubidi nawe uwe mbwa.
 
Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti
Alimsingizia Lowasa ana Mtoto nje ya Ndoa.

Laana yake haitamwacha salama
 
2024 na 2025 usemi ni ule ule

Tulishinda uchaguzi lakini tumeibiwa kura
 
Mgema akisifiwa............

Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine

Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.

Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti

Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne

Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.

Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
Unategemea upate jibu gani zaidi ya kuambiwa wewe ni Chadema? Kuna vijana wengi wanalipwa kutetea upuuzi na wapuuzi mitandaoni.

Kuteuliwa kwa Makonda ni u-turn kubwa aliyoifanya Samia baada ya kuona Siasa za kistaarabu zitamgharimu kwenye uchaguzi. Keshajua bila kutumia hila na mabavu kama ya mwendazake, kwenye sanduku la kura hatoboi. Ndiyo maana kakwepa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwa visingizio.

Pamoja na mambo mengine, Samia analenga ushawishi kwa kanda ya ziwa. Aliona kati ya dawa ni kuwateulia Biteko kama naibu waziri mkuu, Mnyeti na sasa Makonda na teuzi nyingine zitafuatia. Pamoja na ukaribu alioujenga Makonda kwa Samia kipindi cha bunge la katiba mpya, tabia na ubabe wake unaweza kusaidia ktk harakati za wizi wa kura na dhuruma kwa wapinzani.

Lakini kwa mwendo anaokwenda nao, si ajabu akaibomoa zaidi CCM kabla ya huo uchaguzi. Mwenzetu anajifanyia kila linalokuja mbele yake bila kujali mipaka ya madaraka yake. muhimu kwake ni sifa. Usiogope haya ya mitandaoni na usanii wa nyomi ktk mikutano, kuna watu wanalipwa.
 
Mgema akisifiwa............

Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine

Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.

Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti

Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne

Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.

Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
kama CCM wenyewe wamemuamini wakampa madaraka, fedha na jukwaa la kufanyia siasa. wewe CHADEMA inakuuma nini?
 
Back
Top Bottom