Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,181
11,602
Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.

Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.

Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.

Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.

Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.

Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu chama cha Mapinduzi.
 
"Pamoja na kelele nyingi kwamba mateso yapo lakini kila kukicha watu wanapanda ndege wanakwenda, na msingi unaowaongoza ni uleule kheri nife nikijaribu kuliko kukaa naangamia bila kujaribu kwa sababu ambazo hazina mashiko, na ndiyo maana serikali zetu zimeingia mikataba hii ili kuweka mazingira mazuri ya watu kwenda, yeyote anayetaka kwenda kufanya kazi nje afuate utaratibu kwa kupata uthibitisho wa hiyo ajira,"- Balozi Abdallah Kilima

#MkutanoIkulu
#EastAfricaTV
 
Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.

Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.

Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.

Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.

Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.

Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu chama cha Mapinduzi.
Naunga mkono hoja, CCM sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni Chama Dola, and in fact CCM ni Dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
 
wewe ni mpumbavu sana sana
 
Naunga mkono hoja, CCM sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni Chama Dola, and in fact CCM ni Dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Nakuombea sana Sir,
Baraka na Neema za Mungu ziandamane nawe, matokeo ya ustahimilivu wako ukawe Nuru ya matumaini hapo mbeleni....

Kwa maoni yangu, kwa namna fulani unahitajika mahali fulani katika katika chama au serikali ktk kulisukuma gurudumu la Maendeleo nchini....

and for sure the publics expect to see you there soon...
 
Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.

Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.

Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.

Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.

Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.

Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu chama cha Mapinduzi.
Hilo wala halihitaji mjadala!
 
Bandari zetu hazitauzwa, kukodishwa, Wala kubinafsishwa Kwa wageni.

Maandamano Yako pale pale.
 
wanaamanaji haramu, wezi na waporaji wa vibanda na maduka ya wananchi hawana nafasi ya kuvuruga Amani na utulivu wa Nchi kwa namna yeyote ile...
Watadhibitiwa vilivyo right, left and center
 
Nakuombea sana Sir,
Baraka na Neema za Mungu ziandamane nawe, matokeo ya ustahimilivu wako ukawe Nuru ya matumaini hapo mbeleni....

Kwa maoni yangu, kwa namna fulani unahitajika mahali fulani katika katika chama au serikali ktk kulisukuma gurudumu la Maendeleo nchini....

and for sure the publics expect to see you there soon...
Amen, Amen, mimi ni mtumishi wa watu on my own merits, sihitaji uteuzi wowote, and soon hizi makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zitaibukia kwenye mainstream media.
View: https://youtu.be/Ku8I626xl_k?si=NCfMuhmCKm0Uume7
Huduma kama hii, inamsaada Mkubwa sana kwa jamii kuliko uteuzi wa nafasi yoyote!.
P
 
Back
Top Bottom