Makonda alipoteuliwa kuwa RC ndio Wengi wakajua nguvu ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa. Kijana ni mbunifu sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Kabla ya ujio wa Makonda kama Mkuu wa mkoa wa DSM Watu Wengi waliamini cheo cha Mkuu wa mkoa ni Mwanasiasa

Ila RC Makonda akaonyesha Nguvu kamili ya RC kikatiba ndipo Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote Nchini wanaanza kumuiga huku wengine wakipitiliza na kuvaa sare za majeshi kabisa

Hata sasa Wengi wameanza kujua maana ya Itikadi ya Chama Cha Siasa kinapokuwa kimeunda Serikali

Mungu wa Mbinguni amlinde😀
 
jiepushe na ku post silly news
 
Mungu wa Mbinguni amlinde
..
JamiiForums1381953234.jpg
 
Kabla ya ujio wa Makonda kama Mkuu wa mkoa wa DSM Watu Wengi waliamini cheo cha Mkuu wa mkoa ni Mwanasiasa

Ila RC Makonda akaonyesha Nguvu kamili ya RC kikatiba ndipo Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote Nchini wanaanza kumuiga huku wengine wakipitiliza na kuvaa sare za majeshi kabisa

Hata sasa Wengi wameanza kujua maana ya Itikadi ya Chama Cha Siasa kinapokuwa kimeunda Serikali

Mungu wa Mbinguni amlinde😀

Halafu haitwi Makonda Bali Daudi Bashite. Mbunifu wa kuiba vyeti.
 
Malizia kabisa na Sabaya alipoteuliwa ukuu wa wilaya ndio tukajua nguvu ya mwenyekiti wa wilaya ulinzi na usalama..... Nyau we
 
Kabla ya ujio wa Makonda kama Mkuu wa mkoa wa DSM Watu Wengi waliamini cheo cha Mkuu wa mkoa ni Mwanasiasa

Ila RC Makonda akaonyesha Nguvu kamili ya RC kikatiba ndipo Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote Nchini wanaanza kumuiga huku wengine wakipitiliza na kuvaa sare za majeshi kabisa

Hata sasa Wengi wameanza kujua maana ya Itikadi ya Chama Cha Siasa kinapokuwa kimeunda Serikali

Mungu wa Mbinguni amlinde😀
Naunga mkono hoja, tena usikute uteuzi wake kuwa RC wa DSM, ulitokana na bandiko hili la JF Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

P
 
Mstaafu?. Wewe ni mstaafu?. Mbona una uchawa Kama Kama kijana wa miaka ishirini?. Badilika basi unatia aibu.
Nilistaafu Chadema Bwashee punguza Makasiriko 😂🔥

Siasa za Bongo siyo halisi utakufa na vidonda vya Tumbo bure wakati Viongozi wako wote Hapo Ufipa st ni Raia wa Marekani 😄
 
Back
Top Bottom