Uwepo wa Makonda ndani ya mfumo hakika si jambo rafiki kwa mafisadi na wezi wa mali za Umma.
Majambazi yale hutengeneza wigo mpana wa kutetewa na kusifiwa ili kwalo yaendelee kuiba, kuficha na...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kubadili mtindo wa maisha kwa kuzingatia...
Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wameipongeza timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya miaka 15 (Karume...
~Yataka yasaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea
SERIKALI imezitaka Jumuiya za Kimataifa zisaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ili kupanua wigo wa ushiriki wa wananchi...
DODOMA
Kundi la Watalii 120 wakiwemo wachezaji maarufu wa tenisi wa Marekani watakuja nchini Tanzania kutalii katika ziara ya kifahari ya McEnroe na mashindano ya tenisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Klaus Werner lohannis, Rais wa Romania Ikulu - Dar es Salaam leo tarehe 17 Novemba, 2023...
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Songwe ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mhe. Solomon Itunda imetembelea na kufanya ukaguzi wa athari zilizosababishwa na mvua na upepo katika Kijiji cha...
Kwa takwimu nilizonazo ni kuwa Tanzania ina majimbo 264 ambapo ni Wabunge 264 bila kujumuisha Wabunge wa Viti Maalumu na Wabunge wa kuteuliwa na Rais.
Katika majimbo hayo, jimbo lenye watu wengi...
Wakuu JF,
Greetings and I hope you are doing well.
Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa...
"President Magufuli needs to listen this. Too much taxes kill economy. For example Tanzania has 30% tax and 20% Value added Tax” ~ Mr. Senator
Some African tax rate is highest in the world. In...
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI.
Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya...
Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na...
Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya...
Wengi wanadhani Komredi Makonda ana jambo lake na CHADEMA, hapana Mwenezi hana Shughuli yoyote na CHADEMA
Komredi Makonda ana Jukumu moja tu la kuhakikisha CCM chini ya Mwenyekiti Rais Dr Samia...
Sasa hivi naanza kukubaliana na wanaosema ukiwa mwanasiasa akili zako inabidi uziweke mfukoni kwanza
Ukifuatilia yanayoendelea kwa hivi sasa kati ya CCM, Makonda na wananchi "wao" unaweza...
Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.
Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela.
Dunia ya...
Watu wanaweza kuhamishwa na kuishi magorofani lakini wanyama, mifugo, madini na kilimo lazima viishi ardhini, Mwita hataki watu wa tarime wasogezwe kupisha mbuga ya Serengeti lakini anaona ni sawa...