Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

Objective football

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
1,196
2,758
Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk

Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!

Rais amekupa dakika tano tu umpongeze na umshauri kipi kiboreshwe ama kiongezeke kwenye utawala wake ili kila mtu ajivunie kuwa mtanzania, utazungumza nini?
 
Awamu ya sita ya mama samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT,Ruzuku ya mbolea, Afya ,Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk

Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao , nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!

Rais amekupa dakika tano tu umpongeze na umshauri kipi kiboreshwe ama kiongezeke kwenye utawala wake ili kila mtu ajivunie kuwa mtanzania , utazungumza nini ?
Nitamwambia CHAWA hawana msaada tangible kwake.
CC
Lucas mwashambwa and ChawaWaMama
 
Back
Top Bottom