DC Happi mbona huendi kutoa Pole Kwa Clouds media?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
23,392
55,204
DC ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika. Na Cloudsmedia wapo wilaya ya Kinondoni inayoongozwa na Ally Happi. Baada ya RC Makonda kuvamia studio za Cloudsmedia kwann DC huyu hajaenda kutoa pole hadi leo?
 
Huyu kasahau jukwaa la wazalendo, lenyewe lilikuwa dhidi ya Manji na COCO BEACH, na akapata wilaya...
 
CLOUDS Kwa sasa wametangaza VITA na SERIKALI Pamoja na CCM, Usitegemee USHIRIKIANO Wowote kwa sasa
 
DC ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika. Na Cloudsmedia wapo wilaya ya Kinondoni inayoongozwa na Ally Happi. Baada ya RC Makonda kuvamia studio za Cloudsmedia kwann DC huyu hajaenda kutoa pole hadi leo?
Kwa hiyo kila kiongozi aliye kinondoni akatoe pole kwa clouds?, yaani wananchi wakikumbwa na maafa mbalimbali kama mafuriko, tetemeko, ukame, n.k viongozi wasiende kutoa pole halafu wameongozana kutoa pole clouds?, kwel siasa mchezo mchafu.
 
Kama umeshaona Mbabe wako uliyekuwa ukimwaminia anapewa za Uso Wewe Kinyankera tu utathubutu kupelekea pua yako?
 
Kwa hiyo kila kiongozi aliye kinondoni akatoe pole kwa clouds?, yaani wananchi wakikumbwa na maafa mbalimbali kama mafuriko, tetemeko, ukame, n.k viongozi wasiende kutoa pole halafu wameongozana kutoa pole clouds?, kwel siasa mchezo mchafu.
Siasa umeiona wewe kwenye uzi wangu, mwenye jicho na mawazo ya kisiasa. Lkn mm sijataja chama wala sera za chama ktk uzi wangu
 
DC ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika. Na Cloudsmedia wapo wilaya ya Kinondoni inayoongozwa na Ally Happi. Baada ya RC Makonda kuvamia studio za Cloudsmedia kwann DC huyu hajaenda kutoa pole hadi leo?
Anasubili taarifa kutoka kwa RPC wa kinondoni kama kuna sehemu watu wamevamiwa
 
Back
Top Bottom