Rais Samia ungana na upepo wa Paul Makonda

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,551
Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga.

1700036754657.jpeg

Ndugu Paul Makonda
Wengi wanaamini kuwa umerudisha fadhila kwa kijana aliyepanda mbegu ya fikra ya uteuzi wako kama mwanamke wa kwanza kwa nafasi ya Makamu wa Rais. Kwa ni fadhila pia hongera maana sio wote wenye moyo wa shukurani.

Sasa Kijana ameanza kazi kwa kasi na style tofauti na yako.

Jambo la kusikitika ni pale kijana anafanya kazi ya kuibua maovu katika mikutano yake na wakati mwingine inahitajika mamlaka za juu au za uteuzi ili kushughulikia changamoto.

Kwa mamlaka ya MAKONDA, hawezi kutumbua au kumsimamisha kazi mtumishi wa umma.

Ni vema Rais ukajitokeza katika mikutano hiyo kwa njia ya maamuzi. Piga simu moja kwa moja au uweke access ya kufikia maamuzi ya haraka ili kuonesha kuwa Makonda yupo kukuwakilisha.

Labda kama hutambui jambo moja ambalo watanzania wanataka kuona ni uwajibikaji.

Panapotokea Shaka yoyote katika utendaji wa mtu Serikalini, angalau basi chukua hatua za kumsimamisha apishe uchunguzi.

Sasa Kila Kona Makonda anakutana na kero na uonevu, lakini hana malaka.

Itafikia hatua Makonda atakua maarufu kuliko aliyemtuma kazi.
 
Na ikifikia hapo Samia huna kazi, labda mumteke, ila utakuwa umechelewa sana mana Makonda ni mtu anaejua system nzima ukimshangaa atajikuta amekushangaza maana katika ulimwengu wa roho namwona level za mbali sana huyu mbaba

Samia najua unanijua na hapa utatumia imoj ya kucheka maana unapenda sana kutumia imoji hizo humu JF hebu chukua ushauri wa mwana hapo juu na mwana umpe uteuzi hata wa ubalozi wa nyumba
 
Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga. Wengi wanaamini kuwa umerudhisha fadhila kwa kijana aliyepanda mbegu ya fikra ya uteuzi wako kama mwanamke wa kwanza kwa nafasi ya Makamu wa Rais. Kwa ni fadhila pia hongera maana sio wote wenye moyo wa shukurani.

Sasa Kijana ameanza kazi kwa kasi na style tofauti na yako.
Jambo la kusikitika ni pale kijana anafanya kazi ya kuibua maovu katika mikutano yake na wakati mwingine inahitajika mamlaka za juu au za uteuzi ili kushughulikia changamoto.
Kwa mamlaka ya MAKONDA, hawezi kutumbua au kumsimamisha kazi mtumishi wa umma.

Ni vema Rais ukajitokeza katika mikutano hiyo kwa njia yaaamuzi. Piga simu moja kwa moja au uweke access ya kufikia maamuzi ya haraka ili kuonesha kuwa Makonda yupo kukuwakilisha.
Labda kama hutambui jambo moja ambalo watanzania wanataka kuona ni uwajibikaji.
Panapotokea Shaka yoyote katika utendaji wa mtu Serikalini, angalau basi chukua hatua za kumsimamisha apishe uchunguzi.
Sasa Kila Kona Makonda anakutana na kero na uonevu, lakini hana malaka.

Itafikia hatua Makonda atakua maarufu kuliko aliyemtuma kazi.
Mnakosea sena ,mnapompaisha Makonda na kushindwa elewa chama chochote Duniani hakiwezi sukwa na mtu mmoja ila kwa nguvu ya pamoja ya wanachama na viongozi mbalibali ndani ya chama,

Sasa kwa sifa mnazomshushia Makonda wenda kwa kujua au kutojua mnakatisha watu tamaa, mtakuja kumbuka shuka kumekucha.

Kumbuka siasa za majukwaani na kuwa kiongozi kama mkuu wa mkoa ni vitu viwili tofauti,
 
Let me assures you without fear of contradictions,

wherever you see Makonda speaking or with costrastractve or deconstractive criticism towards appointees or any officials of the government, that is CCM national Chairman is speaking.....

In conclusions,
Everything is well planned and blessed to be executed like that.
Makonda is the mouth of the ruling party.
 
Mkuu kundi lipi la watu linaweza kuwa linakatishwa tamaa?
 
Kuna vyeo vya mamlaka, ushawishi na madaraka.

Sasa mnatamani iwe Itikadi Uenezi na Mamlaka ya kuwajibisha jukwaani bila uchunguzi.

Binadamu anayependa mamlaka ukimpa cheo cha ushawishi tu hawezi ridhika. Kazi Iendelee.

Makonda oyeeee! Wapambe nasi oyeee! CCM oyeee!
 
Wanavyompangapanga huyu mama mpaka inaleta hasira....kwanini wasimwache tu,eti
Hata wakimuacha, atatafuta namna mpaka wampangie. Yeye anapenda iwe hivi, ndio maana hata muwache kuzungumzia. Kitu kimoja ni kwamba 'mama' hatabiriki kwenye teuzi zake.
 
Makonda anafanya kazi sana nafurahishwa na upepo aliokuja nao kijana acha akipaishe chama cha mapinduzi, mazimgira yake ya kazi ni magumu lakini amejitahid kufanya kazi kamilifu
 
Hata wakimuacha, atatafuta namna mpaka wampangie. Yeye anapenda iwe hivi, ndio maana hata muwache kuzungumzia. Kitu kimoja ni kwamba 'mama' hatabiriki kwenye teuzi zake.
Yaan daa,sijui kwanini mwenzenu nampenda hivyohivyo kiukweli....sijui limbwataa?
 
Let me assures you without fear of contradictions,

wherever you see Makonda speaking or with costrastractve or deconstractive criticism towards appointees or any officials of the government, that is CCM national Chairman is speaking.....

In conclusions,
Everything is well planned and blessed to be executed like that.
Makonda is the mouth of the ruling party.
Astaghfirullah! Aibu naona mimi...
 
Yaan daa,sijui kwanini mwenzenu nampenda hivyohivyo kiukweli....sijui limbwataa?
Uzalendo sio lazima uvae bracelets, scarf, tie n.k vyenye rangi ya bendera ya taifa.
Unachokifanya ndio uzalendo, wala sio limbwata. Hatuna chaguo, ispokuwa kumpenda na kumlinda kwa ajili ya taifa.
 
Back
Top Bottom