Bilioni 14.5 Kujenga Kituo cha Mabasi, Barabara Mtwara

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi amesema Serikali kupitia mradi wa kubadilisha miundombinu na ushindani wa miji nchini (TACTIC) imetenga Sh14.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi pamoja na barabara mbili zenye urefu wa kilometa sita katika Mkoa wa Mtwara.

Ndejembi ametoa kauli hiyo jana Jumatano Novemba 15, 2023 kwenye ziara ya Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko mkoani Mtwara ambapo amesema kiasi hicho cha fedha pia kitawezesha kujengwa kwa karakana kwa ajili ya wajasiriamali wadogo.

View: https://www.instagram.com/p/Czshd_tpl5F/
 
Back
Top Bottom