Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.