Uongo mkubwa kupata kutokea Tanzania

Wadau nawasalimu.Naomba kila mwenye UONGO MKUBWA uliopata kutokea hapa Nchini auseme.
Binafsi UONGO mkubwa uliopata kutokea ni:

1. Tiba ya Kikombe ya Babu wa Loliondo

2. Trilion 360 za Makinikia kuwa Tanzania tutalipwa.

3.Maisha bora kwa kila Mtanzania Ilani ya CCM

4...........

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Upo kwenye sanduku la mlo a.k.a kula🏃🏃🏃
 
Wadau nawasalimu.Naomba kila mwenye UONGO MKUBWA uliopata kutokea hapa Nchini auseme.
Binafsi UONGO mkubwa uliopata kutokea ni:

1. Tiba ya Kikombe ya Babu wa Loliondo

2. Trilion 360 za Makinikia kuwa Tanzania tutalipwa.

3.Maisha bora kwa kila Mtanzania Ilani ya CCM

4...........

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Sokoine aonekana Bungeni 1985
 
Tunajenga miundombinu kwa fedha za ndani!
 
Wadau nawasalimu.Naomba kila mwenye UONGO MKUBWA uliopata kutokea hapa Nchini auseme.
Binafsi UONGO mkubwa uliopata kutokea ni:

1. Tiba ya Kikombe ya Babu wa Loliondo

2. Trilion 360 za Makinikia kuwa Tanzania tutalipwa.

3.Maisha bora kwa kila Mtanzania Ilani ya CCM

4...........

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Nadhani ni usanii mkubwa kuwahi kufanywa na Watanzania wasio wasanii.
 
Wadau nawasalimu.Naomba kila mwenye UONGO MKUBWA uliopata kutokea hapa Nchini auseme.
Binafsi UONGO mkubwa uliopata kutokea ni:

1. Tiba ya Kikombe ya Babu wa Loliondo

2. Trilion 360 za Makinikia kuwa Tanzania tutalipwa.

3.Maisha bora kwa kila Mtanzania Ilani ya CCM

4...........

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Tiba ya corona toka Madagascar (by jiwe/prof. wa jalalani)
 
Wadau nawasalimu.Naomba kila mwenye UONGO MKUBWA uliopata kutokea hapa Nchini auseme.
Binafsi UONGO mkubwa uliopata kutokea ni:

1. Tiba ya Kikombe ya Babu wa Loliondo

2. Trilion 360 za Makinikia kuwa Tanzania tutalipwa.

3.Maisha bora kwa kila Mtanzania Ilani ya CCM

4...........

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Mbarawa: Dpw ameptikana baada ya kushindanisha makampuni 8 toka nchi tofauti.
(against) Majaliwa: Dpw tumempata tulipoenda Expo Dubai.
 
🐒🐒🐒
403040.jpg
 
Back
Top Bottom