Busara hapo Mbeya ifanyike nusu mkate kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni kama Ishmael na Isaka wote wana Baraka!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,046
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili

Ikumbukwe Dkt. Tulia PhD na Bilionea Sugu Moto Chini Wote wanakubalika sana Mbeya nzima

Mlale Unono 😀😀
 
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dr Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili

Ikumbukwe Dr Tulia PhD na Bilionea Sugu Moto Chini Wote wanakubalika sana Mbeya nzima

Mlale Unono
Siku Moja CCM itakufa lakini inahitaji miaka mingi sana kutengeneza kizazi Cha wastaarabu, wakati mwingine nikiwaza hii mikoa kama DODOMA, RUVUMA, TABORA na mikoa mingine kama PWANI n.k napata kigugumizi maana hii mikoa wamelala sijui wataamka lin?
 
2025 inabidi jeshi la polisi liongezwe kwa idadi Mbeya mjini. Watu hawamtaki Tulia, wanaona hakua chaguo lao bali lilikua chaguo la wasiopenda kutenda haki. PT hakikisha wanaotoka depo wawe wengi haswa.
 
Hakuna cha nusu mkate hapa. Sugu amekaa miaka kumi hapo lakini ukimwambia na kumuuliza amefanya nini hakuna anachoweza kukuonyesha wala kukutajia. Yeye alikuwa anafanya kazi ya uzurulaji tu kama kuku wa kienyeji. Wakati si wake akae kwa kutulia ajifunze kutoka kwa Dr Tulia maana ya kuwa mbunge na wajibu wake kwa wananchi.
 
2025 inabidi jeshi la polisi liongezwe kwa idadi Mbeya mjini.Watu hawamtaki Tulia,wanaona hakua chaguo lao bali lilikua chaguo la wasiopenda kutenda haki.PT hakikisha wanaotoka depo wawe wengi haswa.
Mbeya ipi hiyo unayoizungumzia wewe? Umeona namna Dr Tulia alivyopokelewa kwa kishindo wiki iliyopita? Umeona namna Dr Tulia anavyokubalika na kuungwa mkono kila sehemu akienda?
 
Ila huyu Luka ana roho ngumu sana. Sijui analipwa shilingi ngapi kuwatetea wenye meno? Kutwa anashinda humu JF. Huyo aliyetoa pendekezo la nusu mkate ni mbobezi kwenye ulingo wa siasa. Kama Chama dola hawataki kuabika na kumwaibisha Rais wa Mabunge yote duniani, wachague moja kati ya mawili. Ama waligawe jimbo la Mbeya au uje ufanyike uchafuzi........
 
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili

Ikumbukwe Dkt. Tulia PhD na Bilionea Sugu Moto Chini Wote wanakubalika sana Mbeya nzima

Mlale Unono 😀😀
Hakuna hiyo , mkigawanya jimbo atakapopelekwa Tulia ndio atakapogombea Sugu , huyo Mama hatoki wallah tena !

Halafu hofu yenu nini ? mbona Uspika siyo lazima awe Mbunge , Waziri Mkuu tu ndio anabanwa na hiyo sheria , acheni uoga , si mnasema anakubalika Mbeya , tulieni sasa
 
Ila huyu Luka ana roho ngumu sana. Sijui analipwa shilingi ngapi kuwatetea wenye meno? Kutwa anashinda humu JF. Huyo aliyetoa pendekezo la nusu mkate ni mbobezi kwenye ulingo wa siasa. Kama Chama dola hawataki kuabika na kumwaibisha Rais wa Mabunge yote duniani, wachague moja kati ya mwili. Ama waligawe jimbo la Mbeya au uje ufanyike uchafuzi........
Ligawanywe au lisigawanywe bado Dr Tulia atapita na kushinda kwa kishindo.Dr Tulia anakubalika na kupendwa sana na wana Mbeya.nafikiri uliona mapokezi ya kishindo aliyoyapata wiki iliyopita pale jijini.ambapi watu walifurika kwa maelfu hali ambayo isingetoa nafasi kwa hata sisiminzi kupenya katikati ya miguu ya watu.

Sugu hakuna alichofanya kwa muda wote aliokuwa mbunge wa Mbeya mjini.niambie hata wewe kuwa sugu alifanya nini kwa miaka yake yote ya ubunge?
 
2025 inabidi jeshi la polisi liongezwe kwa idadi Mbeya mjini.Watu hawamtaki Tulia,wanaona hakua chaguo lao bali lilikua chaguo la wasiopenda kutenda haki.PT hakikisha wanaotoka depo wawe wengi haswa.
Sina imani na polisi. Hasa baada ya kusikia kuwa mwenye nyota mbili anapokea 990,000/- kwa mwezi.

Hawajitambui, hawajui upinzani inapigania maslahi yao
 
Hakuna hiyo , mkigawanya jimbo atakapopelekwa Tulia ndio atakapogombea Sugu , huyo Mama hatoki wallah tena !

Halafu hofu yenu nini ? mbona Uspika siyo lazima awe Mbunge , Waziri Mkuu tu ndio anabanwa na hiyo sheria , acheni uoga , si mnasema anakubalika Mbeya , tulieni sasa
Sugu hana chake tena na jimbo la Mbeya halihitaji kuongozwa kihuni na kibabaishaji kama alivyokuwa anaongoza sugu , utafikiri anaongoza wavuta Bangi.sasa jiji la Mbeya linaongozwa na mtu anayelipatia heshima jiji na sauti yake kusikika Duniani kwote. Sugu akaongoze wahuni wenzake pale ufipa.
 
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili

Ikumbukwe Dkt. Tulia PhD na Bilionea Sugu Moto Chini Wote wanakubalika sana Mbeya nzima

Mlale Unono 😀😀
Hakuna cha mawili au matatu ,lazima mtu mweusi aangukie pua.
 
Sina imani na polisi. Hasa baada ya kusikia kuwa mwenye nyota mbili anapokea 990,000/- kwa mwezi.

Hawajitambui, hawajui upinzani inapigania maslahi yao
Duuuh! je konstebo,si hatari?
Ndomaana rushwa haiishi.
 
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili

Ikumbukwe Dkt. Tulia PhD na Bilionea Sugu Moto Chini Wote wanakubalika sana Mbeya nzima

Mlale Unono
Hili tuwaachie wanaMbeya wenyewe. Sisi wa Madongokuinama tushughulike na ya kwetu!
 
Ligawanywe au lisigawanywe bado Dr Tulia atapita na kushinda kwa kishindo.Dr Tulia anakubalika na kupendwa sana na wana Mbeya.nafikiri uliona mapokezi ya kishindo aliyoyapata wiki iliyopita pale jijini.ambapi watu walifurika kwa maelfu hali ambayo isingetoa nafasi kwa hata sisiminzi kupenya katikati ya miguu ya watu.

Sugu hakuna alichofanya kwa muda wote aliokuwa mbunge wa Mbeya mjini.niambie hata wewe kuwa sugu alifanya nini kwa miaka yake yote ya ubunge?
Unatumia nguvu nyingi sana kubet matokeo. Sisi mashabiki(tusio wanaMbeya mjini) tunataka tuone mechi yenyewe live dk 90 ziishe kabisa
 
Hivi Sugu bado anataka ubunge wakati alishakuwa mbunge kwa miaka 10 (vipindi viwili)

Kunani bungeni?alisahau nini?
 
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili
Hakuna kugawanya jimbo hapo. Mtanange upigwe tu hivyo hivyo, atakayeshinda ndiye mwamba.
Mbona Leonsi Silayo Ngalai vs Basil Pesambili Mramba (rips) mtanange ulipigwa tu bila kugawiwa jimbo?
Kwani mtanange wa Abel Kyagunya Mwanga vs Mtaragala Chirangi uligawa jimbo la Musoma?
Watu tumeona mitanange bwashee! Demokrasia haina kupendeleana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom