Paul Makonda ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM. Maagizo yake ni Sahihi kabisa yapo Kimafunzo zaidi!

Unakusudia kusema itikadi ya chama, ilani, na mafunzo yake vyote ni maigizo matupu??
 
Ni katika kuwekana Sawa tu na kuondoa sintofahamu kwa Baadhi ya Watu

Komredi Makonda Ndiye Msimamizi mkuu wa Itikadi ya CCM, Uenezi wa Chama na Mafunzo

Hadi sasa hajatenda nje ya Shughuli zake kwa mujibu wa Katiba

Mungu wa Mbinguni awabariki
Moderator wanakuvumilia sana jo ndio maana huishi kupost ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moderator wanakuvumilia sana jo ndio maana huishi kupost ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano anaposema Wanaojiita Wapinzani ni Watoa Taarifa hii ni Mafunzo makubwa kwa Watanzania

Mzee Sumaye alikiri kabisa kuwa.alienda Chadema Ili kuongeza nguvu ya kuitaarifu CCM na Alikuwa akimwambia Shujaa Magufuli ambaye naye Alikuwa hajui kama Akina Mshana jr na kundi zima la Covid-19 ni Watoa Taarifa 😂😂🔥
 
Kwa mfano anaposema Wanaojiita Wapinzani ni Watoa Taarifa hii ni Mafunzo makubwa kwa Watanzania

Mzee Sumaye alikiri kabisa kuwa.alienda Chadema Ili kuongeza nguvu ya kuitaarifu CCM na Alikuwa akimwambia Shujaa Magufuli ambaye naye Alikuwa hajui kama Akina Mshana jr na kundi zima la Covid-19 ni Watoa Taarifa
Kwani ni uongo? Ni vyama vya watoa taarifa tu.
 
Kwa mfano anaposema Wanaojiita Wapinzani ni Watoa Taarifa hii ni Mafunzo makubwa kwa Watanzania

Mzee Sumaye alikiri kabisa kuwa.alienda Chadema Ili kuongeza nguvu ya kuitaarifu CCM na Alikuwa akimwambia Shujaa Magufuli ambaye naye Alikuwa hajui kama Akina Mshana jr na kundi zima la Covid-19 ni Watoa Taarifa
Akili zenu zinafanana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom