Watoa taarifa (wapinzani) kimya sana ndugu zangu, kulikoni?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,190
11,618
Itoshe kusema Kimya kina mshindo.

Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana..

Vipi?
Ni kishindo cha Makonda?
Au ni mipango tu?
Ni ukata wa fedha au pumzi?
Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene?
Hamuelewani? Hamuaminiani ?
Mnavurugana na kugawanyika?

Wafuasi wanauliza waungane na wale wa kule Mbeya kwenye maandamano, au kwa mwamba wa kaskazini au yule anaepewa sapoti kutoka Magharibi?

Actually,
Kwa chama Tawala Hii ni afya na ni ishara njema, kwamba serikali iliyopo Madarakani imegusa na kushughulika na changamoto na masuala mbalimbali yaliyokua yakipigiwa kelele na watoa taarifa hawa muhimu kwa ustawi wa Demokrasia na Utawala bora nchini, mathalani suala la DP weldi na Report ya CAG.

Serikali Imesikiliza sauti za wananchi na kwakweli Imesikiliza manung'ung'uniko ya watoa taarifa na kuchukua hatua stahiki na kwasasa mambo ni bam bam hawana kisingizio.

Tuendelee kuwaombea kwa Mungu viongozi wa serikali kuu na wote wenye nafasi na wanaofanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi.

Tudumishe, Amani, umoja na utangamano ili kusudi serikali hii sikivu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya kiongozi wetu shupavu ambae sote tunampenda comrade Dr.Samia Suluhu Hassan, iendelee kutekeleza kwa umahiri mkubwa miradi na ahadi zake zote kwa wananchi, zilizoainishwa vema kwenye ilani ya CCM ya 2020-2025.

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
 
Vipi? Ni kishindo cha Makonda?
Au ni mipango tu? Ni ukata wa fedha au pumzi? Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene? Hamuelewani? Hamuaminiani ?mnavurugana na kugawanyika?
Wafuasi wanauliza waungane na wale wa kule Mbeya kwenye maandamano, au kwa mwamba wa kaskazini au yule anaepewa sapoti kutoka Magharibi?

Actually,
Kwa chama Tawala Hii ni afya na ni ishara njema, kwamba serikali iliyopo Madarakani imegusa na kushughulika na changamoto na masuala mbalimbali yaliyokua yakipigiwa kelele na watoa taarifa hawa muhimu kwa ustawi wa Demokrasia na Utawala bora nchini, mathalani suala la DP weldi na Report ya CAG.

Serikali Imesikiliza sauti za wananchi na kwakweli Imesikiliza manung'ung'uniko ya watoa taarifa na kuchukua hatua stahiki na kwasasa mambo ni bam bam hawana kisingizio.

Tuendelee kuwaombea kwa Mungu viongozi wa serikali kuu na wote wenye nafasi na wanaofanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi.

Tudumishe, Amani, umoja na utangamano ili kusudi serikali hii sikivu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya kiongozi wetu shupavu ambae sote tunampenda comrade Dr.Samia Suluhu Hassan, iendelee kutekeleza kwa umahiri mkubwa miradi na ahadi zake zote kwa wananchi, zilizoainishwa vema kwenye ilani ya CCM ya 2020-2025.

Mungu Ibariki Tanzania....
Kidumu chama cha Mapinduzi....
Maji ya shingo maji ya shingo......Wanajibu kwa kupitia sauti ya nyimbo ya DAZ NUNDAZ CREW !
 
Itoshe kusema Kimya kina mshindo.

Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana..

Vipi?
Ni kishindo cha Makonda?
Au ni mipango tu?
Ni ukata wa fedha au pumzi?
Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene?
Hamuelewani? Hamuaminiani ?
Mnavurugana na kugawanyika?

Wafuasi wanauliza waungane na wale wa kule Mbeya kwenye maandamano, au kwa mwamba wa kaskazini au yule anaepewa sapoti kutoka Magharibi?

Actually,
Kwa chama Tawala Hii ni afya na ni ishara njema, kwamba serikali iliyopo Madarakani imegusa na kushughulika na changamoto na masuala mbalimbali yaliyokua yakipigiwa kelele na watoa taarifa hawa muhimu kwa ustawi wa Demokrasia na Utawala bora nchini, mathalani suala la DP weldi na Report ya CAG.

Serikali Imesikiliza sauti za wananchi na kwakweli Imesikiliza manung'ung'uniko ya watoa taarifa na kuchukua hatua stahiki na kwasasa mambo ni bam bam hawana kisingizio.

Tuendelee kuwaombea kwa Mungu viongozi wa serikali kuu na wote wenye nafasi na wanaofanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi.

Tudumishe, Amani, umoja na utangamano ili kusudi serikali hii sikivu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya kiongozi wetu shupavu ambae sote tunampenda comrade Dr.Samia Suluhu Hassan, iendelee kutekeleza kwa umahiri mkubwa miradi na ahadi zake zote kwa wananchi, zilizoainishwa vema kwenye ilani ya CCM ya 2020-2025.

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
 
Itoshe kusema Kimya kina mshindo.

Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana..

Vipi?
Ni kishindo cha Makonda?
Au ni mipango tu?
Ni ukata wa fedha au pumzi?
Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene?
Hamuelewani? Hamuaminiani ?
Mnavurugana na kugawanyika?

Wafuasi wanauliza waungane na wale wa kule Mbeya kwenye maandamano, au kwa mwamba wa kaskazini au yule anaepewa sapoti kutoka Magharibi?

Actually,
Kwa chama Tawala Hii ni afya na ni ishara njema, kwamba serikali iliyopo Madarakani imegusa na kushughulika na changamoto na masuala mbalimbali yaliyokua yakipigiwa kelele na watoa taarifa hawa muhimu kwa ustawi wa Demokrasia na Utawala bora nchini, mathalani suala la DP weldi na Report ya CAG.

Serikali Imesikiliza sauti za wananchi na kwakweli Imesikiliza manung'ung'uniko ya watoa taarifa na kuchukua hatua stahiki na kwasasa mambo ni bam bam hawana kisingizio.

Tuendelee kuwaombea kwa Mungu viongozi wa serikali kuu na wote wenye nafasi na wanaofanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi.

Tudumishe, Amani, umoja na utangamano ili kusudi serikali hii sikivu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya kiongozi wetu shupavu ambae sote tunampenda comrade Dr.Samia Suluhu Hassan, iendelee kutekeleza kwa umahiri mkubwa miradi na ahadi zake zote kwa wananchi, zilizoainishwa vema kwenye ilani ya CCM ya 2020-2025.

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
WApinzani wanasubiria "Mfalme" amalize ziara mikoani , akifika Dar , atulie na wao wafuatilie
 
Wapinzani hujenga hoja, na ili kujenga hoja inabidi ubongo upewe muda wa kichambua mbivu na mbichi.

Lkn waropokqji hubwatuka tu mpk wanafika mahali wanawadhalilisha viongozi wao
 
sio wanapata hoja baada ya CCM kukosea kidogo mambo flan flan
 
Nimependa strategy ya upinzani wamekaa kimya ili jama asipate kiki, amebaki kujibishana na Wana CCM wenzake.
 
Back
Top Bottom