Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,208
Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Clouds Media Sam Sasally Amesema Kuwa Kituo Cha Clouds Hakihusiki na Taarifa zilizosambazwa Kwenda Kumshtaki Mahakamani Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw PAUL MAKONDA

Akichambua Taarifa Iliyoandikwa Katika Gazeti la RAIA MWEMA Inayosema Wakili wa Kujitegemea Amepanga Kwenda Kufungua shauri Mahakamani Kuhusu Paul Makonda Kutokana na Sakata lake la Kuvamia kituo Cha Clouds Media akiwa na silaha, pia matumizi mabaya ya Madaraka

Sam Sasally Amesema Clouds Media Haihusiki na Taarifa hizo na Haitahusika Bali ni matakwa yake mwanasheria huyo.

My take.
Huyu mwanasheria uchwara anatafuta kiki kupitia jina la Makonda baada ya kutumwa na magaidi yaliyoharibiwa biashara ya dawa za kulevya na Makonda.

20211118_204456.jpg
 
Back
Top Bottom