Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar aliowateua hivi karibuni.

Majaji hao ni Khadija Shamte Mzee, Salum Hassan Bakari, Haji Suleiman Khamis.

Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Zanzibar tarehe 16 Novemba 2023.

Viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini na Vyombo vya ulinzi na usalama walihudhuria hafla hiyo.

IMG-20231116-WA0006.jpg
IMG-20231116-WA0005.jpg
IMG-20231116-WA0007.jpg
IMG-20231116-WA0008.jpg
IMG-20231116-WA0009.jpg
 

Attachments

  • IMG-20231116-WA0010.jpg
    IMG-20231116-WA0010.jpg
    60.1 KB · Views: 1
  • IMG-20231116-WA0005.jpg
    IMG-20231116-WA0005.jpg
    48.8 KB · Views: 1
  • IMG-20231116-WA0008.jpg
    IMG-20231116-WA0008.jpg
    81.5 KB · Views: 1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar aliowateua hivi karibuni.

Majaji hao ni Mhe. Khadija Shamte Mzee, Mhe. Salum Hassan Bakari, Mhe. Haji Suleiman Khamis.

Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Zanzibar tarehe 16 Novemba 2023.

Viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini na Vyombo vya ulinzi na usalama walihudhuria hafla hiyo.
 
Back
Top Bottom