Kwanini wabunge wasipewe mafao wakiwa na miaka 60?

Kwanini wabunge wasipewe mafao wakiwa na miaka 60?

lutemi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
1,750
Reaction score
1,401
Salamu
Naomba kujua ikiwa wabunge wakatwa pay as you earn (PAYE)
Naomba kujua kama wabunge wanachangia mifuko ya NSSF(national social security fund)
Naomba kujua wabunge wanachukua hizo fedha yaani kiinua mgongo baada ya muda gani na kwanini wasipewe baada ya kutimiza miaka sitini?
 
Wanapokea kiinua mgongo cha mailioni ya fedha. Kiinua mgongo wanachopata kinalingana na pensheni ya mfanyakazi wa ngazi ya kati aliyefanya kazi kwa takriban miaka 30.
 
Back
Top Bottom