Jokate Mwegelo anatukosea sana kwa kuchagiza mimba mashuleni, adhibitiwe haraka!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,069
40,732
Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8.

Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua umemfanyisha mwanangu mtihani na mama anaenyonyesha kwa kweli nitakushtaki kwa msongo wa mawazo utakaokuwa umemsababishia kwa kumfanya ashuhudie kile kitendo, maana anaweza hata akafeli mtihani wenyewe.

Pili hii italeta amsha ya wivu kwa wale wengine ambao hawana watoto, na wataanza kuzitafuta hizo mimba kwa nguvu, wivu ni asili ya binadamu, hakuna anaekubali kupigwa gap kizembe, hivyo wajinga wajinga wengine wataanza kushindana kuzaa na kunyonyesha madarasani ili kujua nani zaidi.

Kama kulikuwa na haja ya wao kufanya mtihani, basi wangetengewa wodi yao ya wazazi wakafanyishwe mtihani kwa siri ili wenzao wasione.., mnaharibu elimu jamani, tunieni busara.

Hizi cheap politics anaziweza Makonda tu, nyie wengine tulieni, mnajidhalilisha

==========================

BD1A18D2-6692-4669-94F2-F2B5DEA487B7.jpeg

View: https://www.instagram.com/reel/Czx3n82COZc/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
 
Kiafrika bado hatujafikia level za kuwaruhusu waliojifungua kuchangamana na wenzao kwenye vyumba vya mitihani...

Kwa level ya thinking na malezi ya jamii yetu, hiyo itawajengea picha watoto wengine kwamba "Kumbe hata nikizaa au nikimzalisha mwanafunzi mwenzangu hamna tatizo, shule itaendelea kama kawaida".

Haya mambo tuwaachie jamii zilizostaarabika kama wazungu na wachina..
 
Hili suala lina pande mbili, binafsi sidhani kama anahamasisha chochote kwa kuwapongeza hao mabinti, mwishoni amesisitiza wazazi tuzingatie malezi bora kwa watoto wetu kuwaepusha na vidhibiti mwendo
Hiv
Elimu yenyewe ya kibongo hii sio ya kumnyima mtu
kwani serikali ndio inagawa hizo mimba? Suala ni kutowachangamanisha na wengine, wafanye kwenye wodi zao maalum ili wasiahribu wenzao, hizi tabia za kubeba mimba shukeni zinaambukiza
 
Nadhani ingekuwa vizuri kama tungepata takwimu za mimba wakati wa zuio na sasa tuone kipi ni kipi.
 
Ndio itakuwa vizuri. Ila wazazi wawekewe mfumo wao wa elimu ili kutowaathiri kiasikolojia wanafunzi na kubabisha kuporomoka kwa viwango vya ufaulu. Pia wakichanganywa itafanya wanafunzi wasiogope kubeba ujauzito shuleni
 
Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8.

Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua umemfanyisha mwanangu mtihani na mama anaenyonyesha kwa kweli nitakushtaki kwa msongo wa mawazo utakaokuwa umemsababishia kwa kumfanya ashuhudie kile kitendo, maana anaweza hata akafeli mtihani wenyewe.

Pili hii italeta amsha ya wivu kwa wale wengine ambao hawana watoto, na wataanza kuzitafuta hizo mimba kwa nguvu, wivu ni asili ya binadamu, hakuna anaekubali kupigwa gap kizembe, hivyo wajinga wajinga wengine wataanza kushindana kuzaa na kunyonyesha madarasani ili kujua nani zaidi.

Kama kulikuwa na haja ya wao kufanya mtihani, basi wangetengewa wodi yao ya wazazi wakafanyishwe mtihani kwa siri ili wenzao wasione.., mnaharibu elimu jamani, tunieni busara.

Hizi cheap politics anaziweza Makonda tu, nyie wengine tulieni, mnajidhalilisha

View: https://www.instagram.com/reel/Czx3n82COZc/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Komredi Joketi amemsifu Samia,hakumsifu yule msichana. Hebu sikiliza tena.
 
Elewa hoja kwa ujumla na sio specific incident. Kitendo cha kumfuata binti kwao na macamera ili tu umpongeze Rais ambaye yupo Ikulu ni cheap politics zenye madhara makubwa sana kwa saikolojia wa wanafunzi.

Maana sasa unachaguza watu wabebe mimba kwa kushindana ili watembelewe na kupongezwa Rais kupitia wao. Poa unatangaza kwamba hata ukibeba mimba haina shida, utafanya mtihani. Pia wanafunzi wakichanganywa na wazazi wanajifunza nini? Wanapewa msongo wa mawazo na mwishowe watafeli mitihani..
 
Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8.

Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua umemfanyisha mwanangu mtihani na mama anaenyonyesha kwa kweli nitakushtaki kwa msongo wa mawazo utakaokuwa umemsababishia kwa kumfanya ashuhudie kile kitendo, maana anaweza hata akafeli mtihani wenyewe.

Pili hii italeta amsha ya wivu kwa wale wengine ambao hawana watoto, na wataanza kuzitafuta hizo mimba kwa nguvu, wivu ni asili ya binadamu, hakuna anaekubali kupigwa gap kizembe, hivyo wajinga wajinga wengine wataanza kushindana kuzaa na kunyonyesha madarasani ili kujua nani zaidi.

Kama kulikuwa na haja ya wao kufanya mtihani, basi wangetengewa wodi yao ya wazazi wakafanyishwe mtihani kwa siri ili wenzao wasione.., mnaharibu elimu jamani, tunieni busara.

Hizi cheap politics anaziweza Makonda tu, nyie wengine tulieni, mnajidhalilisha

==========================

View attachment 2818619

View: https://www.instagram.com/reel/Czx3n82COZc/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Huyu ni kizazi cha Shetani ,kwa hiyo si ajabu.Ni ushetani mtupu sasa.

Umenikumbusha sana Marehemu Magufuli,alikemea sana ujinga huu.R.I.P Comrade Magufuli.

Ili kufundisha adabu hawa watoto, wakishapata mimba wafukuzwe shule kabisa,hiyo ita-deter wengine kufanya ujinga huo,vinginevyo itakuwa mwendo mdundo.
 
Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8.

Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua umemfanyisha mwanangu mtihani na mama anaenyonyesha kwa kweli nitakushtaki kwa msongo wa mawazo utakaokuwa umemsababishia kwa kumfanya ashuhudie kile kitendo, maana anaweza hata akafeli mtihani wenyewe.

Pili hii italeta amsha ya wivu kwa wale wengine ambao hawana watoto, na wataanza kuzitafuta hizo mimba kwa nguvu, wivu ni asili ya binadamu, hakuna anaekubali kupigwa gap kizembe, hivyo wajinga wajinga wengine wataanza kushindana kuzaa na kunyonyesha madarasani ili kujua nani zaidi.

Kama kulikuwa na haja ya wao kufanya mtihani, basi wangetengewa wodi yao ya wazazi wakafanyishwe mtihani kwa siri ili wenzao wasione.., mnaharibu elimu jamani, tunieni busara.

Hizi cheap politics anaziweza Makonda tu, nyie wengine tulieni, mnajidhalilisha

==========================

View attachment 2818619

View: https://www.instagram.com/reel/Czx3n82COZc/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Lazima wawafurahishe wazungu. Huko ndiko kwenye hela za burebure.
 
Hiyo ya kwenda mahakamani ni mkwara mbuzi.
 
Rudi kitandani uendelee kulala, nashangaa nchi hii kuna watu wana roho mbaya mno, mtoto wa kike why aadhibiwe mara mbili wakati wewe uliyemtia mimba unaendelea na masomo?,Mh.Johari ur doing a good job ,ningekua na uwezo ningekusaidia to make sure watoto hawa wa kike wanaishi ndoto zao
 
Back
Top Bottom