Dkt. Tulia, tutamtuma Musukuma akujibu

Dkt. Tulia, tutamtuma Musukuma akujibu

Sir luta

Senior Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
175
Reaction score
245
Hii ni kufuatia kauli yako uliyoitoa hivi karibuni juu ya walimu ya kukatwa kwenye mishahara Yao na vyama viwili vya wafanykazi.

Tangu mwaka 2014 vianze kusajiliwa vyama vingine vya walimu mbali na CWT hicho kitu hakijawahi kuwepo lakini wewe Leo hii miaka 10 imepita unakuja kupotosha walimu na watanzania kwa sheria ambayo haipo Wala haijawahi kuwepo na wewe ni Mwanasheria kitaaluma japo siyo Mwanasheria Mkuu wa Serikali, na tangu utoe kauli hiyo ya upotoshaji hujaikanusha.

Hivyo tutawatuma wale mnaowaona hawajasoma wakujibu maana mnawadharau wakati wana uelewa wa mambo kuliko ninyi mliosoma. Kanusha matamshi yako ama uyathibitishe, ama ujibiwe na akina Msukuma au Kibajaj.
 
Kuna namna alipoozwa hadi kuongea vile,si bure
 
Back
Top Bottom