Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,714
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Samia hajazirejesha zile fedha za Plea Bargain zilizofichwa CHINA

Samia hajamvua Ujaji Biswalo Mganga na kumsimamisha Mahakamani

Samia hayuko serious na Ripoti ya CAG ya upigaji mkubwa wa kutisha wa fedha zetu za kodi.
 
Jamaa hadi leo hajapata kazi, teuzi, dili lolote katika system😂😂😂 wakat kuna jamaa yangu alipigiwa simu na mteuzi kumuambia kwamba angependelea amteue kwenye position fulani?! Maisha hayana formula kwakweli
 
Mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu lakini pia hii siyo barua ya maombi ya uteuzi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge mh Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani ,lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu,Tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Yapo mengi tu ila moja wapo KATIBA MPYAAAA
 
Samia hana hadhi ya kuwa rais, ameangukiwa tu na bahati....hakuna mtu mwenye akili timamu mtaka maendeleo atasimama kwenye foleni kumpigia kura hangaya.
Uwezo wa Rais samia kiuongozi ni mkubwa sana.ni Kiongozi aliyestahili na anayestahili kuwa katika nafasi hiyo aliyopo kwa sasa. Hii ni kutokana na upeo mkubwa alio nao,maono ya kiuongozi,uwezo mkubwa wa kiakili.Hii ndio maana unaona Taifa letu likiwa limepata maendeleo katika kila sekta.

Hii ndio maana unaona uchumi wetu unafanya vizuri,hii ndio maana unaona miradi mbalimbali ikiendelea kuchipuka kila kona ya Taifa letu,hii ndio sababu ya kuona watu wakiwa na morali ya kufanya kazi kwa bidii kwa kuwa wanaona fursa ya kutimiza ndoto zao.

Ndio maana watanzania wanakiu ya kutaka uchaguzi ufike ili wampigie kura za ndio kwa kishindo Rais samia,ili aendelee kututumikia kwa muhula mwingine.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge mh Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani ,lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu,Tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kufuta riba ya loan board. Watu wanamaliza kulipa lkn bado wana endelea kukatwa sielewi hili suala
 
KWANI HUYO UNAYEMWONGELEA NI NANI MBONA KA NIMEMSAHAU HIVI
 
Back
Top Bottom