Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

African Peer Review Mechanism (APRM Tanzania) imetiliana saini Hati ya Makubaliano na Dr salim Ahmed salim Center for Foreign Relations, mashirikiano hayo yanalenga kukuza uhusiano uliopo na...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Mtaa wa Lindi leo. Tutapiga kelele hadi serikali msikilize uozo uliokuwa wa Jiji la DSM. Jiji ilitoa tenda kwa wachina miaka minne tu iliyopita. Kwa kawaida ujenzi wa barabara, barabara...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Waananchi wa Visegese, Kisarawe wamtaka katibu Mwenezi wa CCM Makonda aende kutatua mgogoro ulioko kati Yao na Halmashauri ya Kisarawe Mgogoro huo unatokana na makubaliano waliyokubaliana na...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Serikali imewataka wafungwa watakaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani kutumia ujuzi waliopata kujitengenezea kipato ili kuepuka kujiingiza tena katika uhalifu. Maagizo hayo yametolewa Novemba...
0 Reactions
9 Replies
801 Views
Kumekuwa na malalamiko kwa baadhi ya wanafunzi kutopata chakula/milo sahihi kwa baadhi ya shule. Mfano wali mara ngapi, ugali, nyama mara ngapi kwa wiki? Hili liwe wazi Ili baadhi ya wakuu wa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Niwe wazi na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Serikali imeshindwa kujenga Kwa kiwango cha kimataifa barabara kutoka Tengeru kwenda Moshi mjini? Sasa imeanza kuziba viraka barabara yote hiyo tena...
2 Reactions
5 Replies
852 Views
UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI YA MTIRO UNAENDELEA VIZURI Rejea taarifa yetu ya Jumatatu, 6.11.2023 kuhusu umuhimu wa kujenga maabara tatu za masomo ya sayansi...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli. Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA...
10 Reactions
51 Replies
5K Views
Luhanga Mpina akitoa mchango wake amesema, amesoma taarifa ya CAG mwaka 2021, amesoma majumuisho ya majibu ya serikali na mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG, hakuna sehemu kwenye majumuisho...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao. Magaidi ya Hamas, yalipoingia Israel na kufanya mauaji makubwa na kisha...
23 Reactions
136 Replies
12K Views
Ninachofahamu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Mbunge wa Katiba. Kadhalika miswada ya sheria huletwa bungeni na AG ambaye ni Mbunge. Sasa nauliza, Ni Bunge linalotunga sheria? Majawabu tafasali...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika...
2 Reactions
3 Replies
981 Views
CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa. Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
https://youtu.be/WHZ_MlIAOOs?si=jVJlAcy5ExWQKi7B Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mawaziri Mwigulu Nchemba, January Makamba na Makame Mbarawa wanasingiziwa kuhusika na ufisadi kupitia ripoti ya CAG lakini ukweli ni kwamba viongozi hawa wanasingiziwa na hakuna uthibitisho wowote...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
So called Judge Ntemi Kilekamajenga hafai. He is a disgrace to the "family". Ni hawa hawa utawakuta wako Mahakama ya Rufaa! By what qualification? Kwa vile wanaweza kutoa maamuzi ya "kishenzi" kwa...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
Jana Jumanne tarehe 21/11/2023 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifanya mkutano Mbagala, mkutano huo ulikuwa ni wa kulifungua soko la Mbagala Zakhiem. Kama kawaida yao mabingwa wa kuficha ukweli...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Tuwe tu Wakweli ile Tume ya Wariioba ya Katiba Mpya mwaka ule 2014 ilifanya kazi yake kizalendo na kwa nia ya dhati ya kutengeneza Katiba Mpya. Itachukua miaka 50 kuwapata Watu Wenye "Moyo" ule...
2 Reactions
3 Replies
450 Views
Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti mkoani Arusha kufuatilia utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji kwenye mashamba ya utafiti- TARI na Mashamba ya Uzalishaji wa Mbegu- ASA. Pia, Ziara ya Kamati ya...
1 Reactions
2 Replies
685 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…