Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki. Kauli Mbiu ya Mkutano huo ni "Kuharakisha ufufuaji wa...
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Nakumbuka mh Halima Mdee alilia sana pale Kawe huku akitoa shahada feki za kupiga kura alizodai wamezikamata kwa wafuasi wa askofu Gwajima mgombea Ubunge wa CCM Ilikuwa vigumu sana kuthibitisha...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba...
12 Reactions
554 Replies
73K Views
Baada ya mh. Wassira kutoa kauli na kuwahakikishia watanzania kuwa hati ya muungano ipo na ataiwasilisha ndani ya siku mbili. Taarifa zenye uhakika kabisa kuwa hati imeshawasili Dodoma kwa maana...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Wakati akichangia hoja za Kamati za Bunge Maalumu namba moja hadi 12, juu ya Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba, Zitto Kabwe alisema wajumbe hawako Bungeni kwa ajili ya...
2 Reactions
95 Replies
16K Views
Wakuu poleni na kujenga nchi, asee tupo Singida hapa tumetoka Kanda ya Ziwa huko tunatafuta lisaa sasa kupisha msafara wa mtu mkubwa. Vipi hii hali ni haki? Si binadamu wote ni sawa? Si kila mtu...
19 Reactions
92 Replies
7K Views
Wakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Watu usema kuwa daima usilonge kumala maana hakuna anaye ijua kesho yake. Makonda kuna kipindi alimuweka kwenye 18 zake ndugu Chongolo ikabidi mzee wa watu na kipara chake anyweee. Leo hii...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
"Huko nyuma Tanzania tulikuwa tunaagiza mbegu kutoka nje ya nchi lakini sasa tunazalisha wenyewe kwa kuziwezesha sekta binafsi kufanya "research" na kuanzisha mashamba yanayozalisha mbegu bora na...
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Kama kuna Kipindi mkulima wa Korosho amepitia au anapitia mateso mheshimiwa Rais basi ni hiki Kipindi chako, huenda kuna mambo mengi unadanganywa na hawa uliowafanya Kuwa wasaidizi wako. 1. Bei...
2 Reactions
10 Replies
980 Views
Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani? Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
6 Reactions
152 Replies
11K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa...
6 Reactions
139 Replies
6K Views
Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo. Chadema yenye Wanachama hai...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Mwalimu ni mtu anayesaidia wengine/jamii kupata ujuzi, maarifa na tunu katika Nyanja mbalimbali zinazohusu jamii au ulimwengu/dunia. Na majukumu ya mwalimu yanaweza kutofautiana kadiri ya...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Binafsi namsifia sana mbunge Kishimba hata kama wanasema hana degree. Anaongea mambo ya msingi sana kwa ustawi wa maisha ya mtanzania. Hao mawaziri wanao shindana kuweka SUPER BLACK KICHWANI...
19 Reactions
72 Replies
5K Views
Mbombo ngafu, Kwanini awafuate CCM? Sio TLP au Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, au wakuu wa mikoa? Humphrey Polepole Machi 6 2021, aliwahi kusema kuwa Jaji Ntemi aliwatafuta CCM akafungua...
11 Reactions
77 Replies
10K Views
Nimeangalia mapokezi ya Taifa stars JKNIA na hakika NIMEONA AIBU MIMI. Yaani mmekosa ubunifu hadi mna watumia vijana wanaopambana kuitetea nchi kama mtaji wa kuivusha CCM na mwenyekiti wenu...
25 Reactions
73 Replies
4K Views
Nionavyo Msema hovyo, ni kwamba matatizo mengi yanayoikabili nchi na kusababisha vifo visivyo vya lazima hivi sasa yametokana na CCM. Ajali, umeme, foleni, afya, maji, elimu, uchumi nk, ambavyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani umeme ulinibania kiasi cha kunifanya nipotee kabisa katika jukwaa letu tukufu. Lakini Mungu bariki mgao umepungua leo nimeweza kurudi ulingoni. Kwa taarifa zisizo rasmi lakini kutoka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…