Osama wa Hamas amenikumbusha Wizi wa Kura 2020 Kule Kawe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,121
Nakumbuka mh Halima Mdee alilia sana pale Kawe huku akitoa shahada feki za kupiga kura alizodai wamezikamata kwa wafuasi wa askofu Gwajima mgombea Ubunge wa CCM

Ilikuwa vigumu sana kuthibitisha madai ya Mdee kutokana na Udhaifu wa ushahidi wake

Leo nimemuona Msemaji wa Hamas mh Osama pale Al jazeera akionyesha video clip ya wanajeshi wa Israel Wakiwa wamebeba Mabox yenye Zana ambayo baadae walidai Zana hizo ni za Hamas na wamezikuta Ndani ya Al Shifa Hospital

Osama aliweza kuonyesha hadi serial number ya Zana hizo kuthibitisha madai yake

Chadema tumeni Watu huko Hamas mkajifunze

Jumaa Mubarak
 
Na hayo mahandaki chini ya hospital yamechimbwa na IDF?
Hata Wayahudi walipokuwa under occupation ya Warumi miaka 2000 iliyopita walichimba mahandaki huko Israel kama njia ya kusurvive.

Nenda Jerusalem utaonyeshwa mahandaki hayo.

Hivyohivyo kwa Wapalestina ambao wako under israel occupation siyo ajabu kuchimba mahandaki kwa ajili ya kutafuta namna ya kusurvive.
 
Siku nyingine uweke link ya video basi
 
Hata Wayahudi walipokuwa under occupation ya Warumi miaka 2000 iliyopita walichimba mahandaki huko Israel kama njia ya kusurvive.

Nenda Jerusalem utaonyeshwa mahandaki hayo.

Hivyohivyo kwa Wapalestina ambao wako under israel occupation siyo ajabu kuchimba mahandaki kwa ajili ya kutafuta namna ya kusurvive.
Kifupi mwana kulitafuta mwana kulipata
 
Hata Wayahudi walipokuwa under occupation ya Warumi miaka 2000 iliyopita walichimba mahandaki huko Israel kama njia ya kusurvive.

Nenda Jerusalem utaonyeshwa mahandaki hayo.

Hivyohivyo kwa Wapalestina ambao wako under israel occupation siyo ajabu kuchimba mahandaki kwa ajili ya kutafuta namna ya kusurvive.
Ok
 
Nakumbuka mh Halima Mdee alilia sana pale Kawe huku akitoa shahada feki za kupiga kura alizodai wamezikamata kwa wafuasi wa askofu Gwajima mgombea Ubunge wa CCM

Ilikuwa vigumu sana kuthibitisha madai ya Mdee kutokana na Udhaifu wa ushahidi wake

Leo nimemuona Msemaji wa Hamas mh Osama pale Al jazeera akionyesha video clip ya wanajeshi wa Israel Wakiwa wamebeba Mabox yenye Zana ambayo baadae walidai Zana hizo ni za Hamas na wamezikuta Ndani ya Al Shifa Hospital

Osama aliweza kuonyesha hadi serial number ya Zana hizo kuthibitisha madai yake

Chadema tumeni Watu huko Hamas mkajifunze

Jumaa Mubarak

Wewe mnafiki sana , kila kitu lazima uweke CHADEMA. Very stupid.
 
Back
Top Bottom