Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwasababu kila chama kina katiba yake"
'Kuhusu kugombea hata kama ningekuwa bado ni kiongozi wa chama ningegombea tu ubunge na ningerudi tu bungeni na ningeendelea tu kuwa kiongozi wa chama, na nitagombea ubunge hilo halina mjadala Mungu atupe uhai hivyo suala la kurejea sio mjadala wa uongozi'