Makonda na Chongolo nani ni mkubwa kwa mwenzake?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Watu usema kuwa daima usilonge kumala maana hakuna anaye ijua kesho yake.

Makonda kuna kipindi alimuweka kwenye 18 zake ndugu Chongolo ikabidi mzee wa watu na kipara chake anyweee.

Leo hii wamekutana kwenye kiota chao kila mtu akiwa na madaraka yake na uteuzi wake.

Nauliza hivi pale nani mwenye maamuzi ya kumkalisha mwenzake?
 
Watu usema kuwa daima usilonge kumala maana hakuna anaye ijua kesho yake.

Makonda kuna kipindi alimuweka kwenye 18 zake ndugu Chongolo ikabidi mzee wa watu na kipara chake anyweee.

Leo hii wamekutana kwenye kiota chao kila mtu akiwa na madaraka yake na uteuzi wake.

Nauliza hivi pale nani mwenye maamuzi ya kumkalisha mwenzake?View attachment 2822723
Hii imeenda
 
Hii imeenda
Isaac Maliyamungu enzi za Id Amin Uganda alikuwa na mamlaka kuliko mtu yeyote except Idd Amin aliyemteua na kumpa cheo kikubwa jeshini
Hivyo Makonda ni mkubwa kimadaraka kwa sababu from casual observation Samia amemleta Makonda kufanya kazi kama ya Isaac Maliyamungu ya kuua, kuteka, kuumiza and all atrocities you can name, him being protected by samia so as to consolidate power
 
Watu usema kuwa daima usilonge kumala maana hakuna anaye ijua kesho yake.

Makonda kuna kipindi alimuweka kwenye 18 zake ndugu Chongolo ikabidi mzee wa watu na kipara chake anyweee.

Leo hii wamekutana kwenye kiota chao kila mtu akiwa na madaraka yake na uteuzi wake.

Nauliza hivi pale nani mwenye maamuzi ya kumkalisha mwenzake?View attachment 2822723
UKUBWA WA MWILI AU ?
 
Chongolo =meneja. Kazi za meneja kusimamia shuguli zoote za kampuni, taasisi, shirika nk.

Makonda=rasilimali watu. Kazi za HR ni kusimamia watu oote kwenye kampuni, taasisi, shirika nk.
Je, ote wamefika kazini kwa muda uliopangwa?
Je, wamevaa sawasawa na kampuni inavyotaka ?
Wapo kwenye sehemu zao za kazi na wanafanya kile walichopangiwa kufanya?

Kwa mfumo huu hapa, HR ana nguvu hata mkurugenzi anaweza kumshauli kama anakosea. MFANO: Mkurugenzi kalewa madaraka na hafiki kazini kwa wakati na mafaili yamejaa mezani yanamsubili kusaini na kusababisha shuguli zingine kusimama. Basi hapa HR anaweza kumshauli mkurugenzi kwa uzembe.
Rabda mkurugenzi akiona HR msumbufu amfukuze kazi. Ndio maana unaona makampuni binafsi ma HR makini hawadumu maana wanakua wasumbufu.

Hivyo kwa swali lako CHONGOLO anaweza kuhojiwa na makonda ila kiutu uzima sio hadi watoto wasikie.
 
Isaac Maliyamungu enzi za Id Amin Uganda alikuwa na mamlaka kuliko mtu yeyote except Idd Amin aliyemteua na kumpa cheo kikubwa jeshini
Hivyo Makonda ni mkubwa kimadaraka
Karibu mkuu ndiye mwenye madaraka,katika chama yeye ni namba 2 toka kwa mwenyekiti,sema tu mwenezi anakuwa anasikika sana,halafu katibu mkuu pamoja na kuwa ni zaidi ya mwenezi,hana uwezo wa kumfukuza kazi.
 
Chongolo =meneja. Kazi za meneja kusimamia shuguli zoote za kampuni, taasisi, shirika nk.

Makonda=rasilimali watu. Kazi za HR ni kusimamia watu oote kwenye kampuni, taasisi, shirika nk.
Je, ote wamefika kazini kwa muda uliopangwa?
Je, wamevaa sawasawa na kampuni inavyotaka ?
Wapo kwenye sehemu zao za kazi na wanafanya kile walichopangiwa kufanya?

Kwa mfumo huu hapa, HR ana nguvu hata mkurugenzi anaweza kumshauli kama anakosea. MFANO: Mkurugenzi kalewa madaraka na hafiki kazini kwa wakati na mafaili yamejaa mezani yanamsubili kusaini na kusababisha shuguli zingine kusimama. Basi hapa HR anaweza kumshauli mkurugenzi kwa uzembe.
Rabda mkurugenzi akiona HR msumbufu amfukuze kazi. Ndio maana unaona makampuni binafsi ma HR makini hawadumu maana wanakua wasumbufu.

Hivyo kwa swali lako CHONGOLO anaweza kuhojiwa na makonda ila kiutu uzima sio hadi watoto wasikie.
Kwa ufahamu wangu, Katibu Mwenezi sio sawa na Human Resorce Officer. Katibu mwenezi ni sawa na Msemaji wa Taasisi- Public Relations Officer.
 
Watu usema kuwa daima usilonge kumala maana hakuna anaye ijua kesho yake.

Makonda kuna kipindi alimuweka kwenye 18 zake ndugu Chongolo ikabidi mzee wa watu na kipara chake anyweee.

Leo hii wamekutana kwenye kiota chao kila mtu akiwa na madaraka yake na uteuzi wake.

Nauliza hivi pale nani mwenye maamuzi ya kumkalisha mwenzake?View attachment 2822723
Simple linganisha tu miaka yao ya kuzaliwa utajua nani mkubwa
 
Mbona ni simple tu chongolo katibu mkuu na makonda katibu muenezi na itikadi ,kwaiyo chongolo ndio yuko juu kimamlaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom