CCM acheni kuitumia Taifa Stars kama mtaji wa kisiasa

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,802
71,229
Nimeangalia mapokezi ya Taifa stars JKNIA na hakika NIMEONA AIBU MIMI.

Yaani mmekosa ubunifu hadi mna watumia vijana wanaopambana kuitetea nchi kama mtaji wa kuivusha CCM na mwenyekiti wenu Samia Suluhu?

Hayo mambo sijui zawadi ya goli ni ya nini nyakati hizi na kama yapo kulikuwa na sababu gani wachezaji wamechoka na safari kisha kuwasimamisha Juani kuwakabidhi milioni kumi huku sifa kem kem kwa Samia?

Msigwa katunga na jina eti "OPERESHENI SAMIA KOMBE LA DUNIA" hamuoni aibu?
Tafuteni clip ya Azamtv ikionyesha pesa zikikabidhiwa kisha someni lugha ya Alama kati ya Samatta na Msuva pia mapokeo wa wachezaji kuhusu hafla hiyo.

Ni aibu kumtaja Samia katika mapambano haya wakati ukweli ni kuwa hajawahi kupoteza usingizi hata dakika 10 kwa ajili ya haya mashindano wakati kuna watu katika TFF, wizara na benchi la ufundi pengine hata hamu ya kula inapotea kwa hofu na kuchanganyikiwa kila wakati.

Waacheni hawa wachezaji, nyie endeleeni na misafara ya Makonda kupanda punda, ngamia na matrekta msiwachanganye maana hao wachezaji wanajua tabia zenu, wakishinda ni WENU wakipoteza WATAJIJUA.
 
ndio maana Imeandikwa,

.human beings are political animals.

Huwezi jisemea moyoni au hadharini, eti sipendi siasa, ujue yenyewe lazima itakupenda tu, ukatae au ukubali....

Taifa Stars ni ya Watanzania wote.
Kuwa na mtazamo tofauti ni afya na uhuru wa kujieleza
 
Good. Taifa stars ni ya watanzania wote.
Sasa kwanini sasa mnataka kuifanya turufu ya kisiasa na hata Wachezaji wanaona mnawafanyia FUTUHI?
Muelewe kuwa watu wenye akili zao wakijua wanatumika kijinga kama wafanyavyo ccm basi moyo wa mapambano unapotea.
 
Hata Yanga na Simba ni timu za CCM
 
Attachments

  • 20231105_171846.jpg
    20231105_171846.jpg
    491.4 KB · Views: 2
  • 20231105_171816.jpg
    20231105_171816.jpg
    440.2 KB · Views: 1
Ni aibu kumtaja Samia katika mapambano haya wakati ukweli ni kuwa hajawahi kupoteza usingizi hata dakika 10 kwa ajili ya haya mashindano wakati kuna watu katika TFF, wizara na benchi la ufundi pengine hata hamu ya kula inapotea kwa hofu na kuchanganyikiwa kila wakati.
Hili ghubu/gubu. Haifai kuionyesha, Mkuu inakushusha!!!

Dkt Samia Suluhu Hassan ni Rais wetu kwa Sasa. Anapambana kuhakikisha Tanzania inapaa katika nyanja zote za kimaendeleo ikiwemo na maendeleo ya Soka hapa nchini!! Ubaya unatoka wapi kumuhusisha Mafanikio ya Taifa Stars na Rais wetu, Dkt Samia?

Eti "hajawahi kupoteza usingi....", hii Ndugu yangu imekushusha sana
 
Nimeangalia mapokezi ya Taifa stars JKNIA na hakika NIMEONA AIBU MIMI.

Yaani mmekosa ubunifu hadi mna watumia vijana wanaopambana kuitetea nchi kama mtaji wa kuivusha CCM na mwenyekiti wenu Samia Suluhu?

Hayo mambo sijui zawadi ya goli ni ya nini nyakati hizi na kama yapo kulikuwa na sababu gani wachezaji wamechoka na safari kisha kuwasimamisha Juani kuwakabidhi milioni kumi huku sifa kem kem kwa Samia?

Msigwa katunga na jina eti "OPERESHENI SAMIA KOMBE LA DUNIA" hamuoni aibu?
Tafuteni clip ya Azamtv ikionyesha pesa zikikabidhiwa kisha someni lugha ya Alama kati ya Samatta na Msuva pia mapokeo wa wachezaji kuhusu hafla hiyo.

Ni aibu kumtaja Samia katika mapambano haya wakati ukweli ni kuwa hajawahi kupoteza usingizi hata dakika 10 kwa ajili ya haya mashindano wakati kuna watu katika TFF, wizara na benchi la ufundi pengine hata hamu ya kula inapotea kwa hofu na kuchanganyikiwa kila wakati.

Waacheni hawa wachezaji, nyie endeleeni na misafara ya Makonda kupanda punda, ngamia na matrekta msiwachanganye maana hao wachezaji wanajua tabia zenu, wakishinda ni WENU wakipoteza WATAJIJUA.
Mahangaiko yote haya ya nini wakati Wanaweza wakajipitisha kwenye kila chaguzi tena kwa kishindo?.
 
Good. Taifa stars ni ya watanzania wote.
Sasa kwanini sasa mnataka kuifanya turufu ya kisiasa na hata Wachezaji wanaona mnawafanyia FUTUHI?
Muelewe kuwa watu wenye akili zao wakijua wanatumika kijinga kama wafanyavyo ccm basi moyo wa mapambano unapotea.
🤣swala la kufikiri na kusema eti watu au akina flani wanataka sijui kuitumia na kuifanya nini Taifa Starz, linabaki kuwa ni mtazamo wa kibinafsi tuu...
ambao hauzuii wengine wenye mtazamo na mipango tofauti na wako dhidi ya Taifa Taifa kusonga mbele......
 
Back
Top Bottom