CCM ni Janga la Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ni Janga la Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msema hovyo, Jul 3, 2011.

 1. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nionavyo Msema hovyo, ni kwamba matatizo mengi yanayoikabili nchi na kusababisha vifo visivyo vya lazima hivi sasa yametokana na CCM. Ajali, umeme, foleni, afya, maji, elimu, uchumi nk, ambavyo vyote kwa pamoja vinapelekea maisha magumu ya watanzania na kuwasababishia vifo vya mara kwa mara vikiwemo vya polisi kuua raia, vinasababishwa na CCM. Hivyo yafaa tuitangaze CCM kama janga la Taifa, na mikakati ianze kulimaliza janga hili.
   
Loading...