Bunda: CHADEMA wakutana kupanga Mikakati ya kuifutilia mbali CCM kwenye eneo hilo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,711
218,260
Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo.

Chadema yenye Wanachama hai zaidi ya mil 15 nchi nzima (kwa Mujibu wa Chadema Digital) huku ikiwa na mamilioni ya Wafuasi, imedhamiria kuitokomeza kabisa CCM Bunda, lengo likiwa ni kubakisha DC, DED, OCD labda na viongozi wa CCM wa wilaya pekee, ambao inatajwa si rahisi kujitoa CCM kutokana na vyeo walivyonavyo kuwasaidia kujikimu.

Hivi ndivyo ilivyokuwa.

Screenshot_2023-11-23-16-22-32-1.png
Screenshot_2023-11-23-16-22-20-1.png
Screenshot_2023-11-23-16-21-57-1.png
Screenshot_2023-11-23-16-21-48-1.png
 
Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA) , Huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo .

Chadema yenye Wanachama hai zaidi ya mil 15 nchi nzima ( kwa Mujibu wa Chadema Digital ) huku ikiwa na mamilioni ya Wafuasi , imedhamiria kuitokomeza kabisa ccm Bunda , lengo likiwa ni kubakisha DC , DED , OCD labda na viongozi wa ccm wa wilaya pekee , ambao inatajwa si rahisi kujitoa ccm kutokana na vyeo walivyonavyo kuwasaidia kujikimu.

Hivi ndivyo ilivyokuwa

View attachment 2822549View attachment 2822551View attachment 2822552View attachment 2822553
nadhani chanzo cha mkwamo wenu ni kupanga mipango bar. Mikakati makini hupangwa mahali makini.

Halafu mbona ni kama timu Fulani vile wanajadili uzi mpya
 
Hiyo Idadi acha upuuzi

NBS wanapaswa wakukamate bahati yako unatumia ID Feki Ndg Tumaini Makene

Kama kweli wewe ni Kamanda jitangaze wewe ni Tumain Makene
Hata kama Mbowe ni Mchawi , anawezaje kuiloga Chadema Digital ? kwamba Bundi wake kaingia kwenye kwenye kompyuta ?
 
Hiyo Idadi acha upuuzi

NBS wanapaswa wakukamate bahati yako unatumia ID Feki Ndg Tumaini Makene

Kama kweli wewe ni Kamanda jitangaze wewe ni Tumain Makene
Mbona mimi nafahamika vizuri tu ! Njoo Kyela kijiji cha Kajunjumele , uliza tu yule mwanachadema mwenye jumba nzuri kuliko nyumba ya Mkuu wa wilaya , watakuleta hadi kwangu

japo mabwege wenzio wamejaribu sana kuniloga lakini Wamekwama , labda ujaribu wewe
 
Hiyo Idadi acha upuuzi

NBS wanapaswa wakukamate bahati yako unatumia ID Feki Ndg Tumaini Makene

Kama kweli wewe ni Kamanda jitangaze wewe ni
Hata kama Mbowe ni Mchawi , anawezaje kuiloga Chadema Digital ? kwamba Bundi wake kaingia kwenye kwenye kompyuta ?

Mbona mimi nafahamika vizuri tu ! Njoo Kyela kijiji cha Kajunjumele , uliza tu yule mwanachadema mwenye jumba nzuri kuliko nyumba ya Mkuu wa wilaya , watakuleta hadi kwangu

japo mabwege wenzio wamejaribu sana kuniloga lakini Wamekwama , labda ujaribu wewe
Haha haha Tumia ID yako basi wewe panya 🤣
 
Hiyo Idadi acha upuuzi

NBS wanapaswa wakukamate bahati yako unatumia ID Feki Ndg Tumaini Makene

Kama kweli wewe ni Kamanda jitangaze wewe ni

Haha haha Tumia ID yako basi wewe panya 🤣
JF ina option 2 unachagua mwenyewe , ndio maana wewe unajiita Masawe lakini tunajua kwamba kwenu ni Geita
 
Back
Top Bottom