CCM yapoteza idadi kubwa ya wanachama huku waliomo humo wakikiri kuganga njaa tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yapoteza idadi kubwa ya wanachama huku waliomo humo wakikiri kuganga njaa tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msema hovyo, Aug 1, 2011.

 1. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani umeme ulinibania kiasi cha kunifanya nipotee kabisa katika jukwaa letu tukufu. Lakini Mungu bariki mgao umepungua leo nimeweza kurudi ulingoni.

  Kwa taarifa zisizo rasmi lakini kutoka katika vyanzo vya habari vyenye uhakika, ni kwamba Chama Cha Mapinduzi hivi sasa kinakabiliwa na wakati mgumu sana baada ya idadi kubwa ya wanachama wake kukisusia. Mtoa taarifa wetu ametutonya kwamba tangu mwaka 2009, chama hiki kimepoteza idadi kubwa ya wanachama ambao wanalipia kadi zao za chama na kujitolea katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa chama (mimi ni mmoja kati ya waliokisusia). Lakini hali imezidi kuwa mbaya zaidi mwaka huu baada ya hali ya mambo kuwa ngumu sana huko vijijini ambako CCM imekuwa ikijivunia kwa kuwa na wanachama wengi zaidi.

  Imeelezwa kwamba wengi wa wanaoonekana kuunga mkono CCM na kuvaa magwanda ya kijani ni waganga njaa tu, na wanafanya hivyo kwa lengo la kupata chakula cha watoto. Mmoja wa wabunge wa CCM ambaye nimepiga naye story mimi mwenyewe, amekiri kwamba kwa jinsi hali ya mambo ilivyo nchini, haridhishwi na wala hafurahii kabisa kuwa CCM. Mbunge huyo ameonyeshwa kupendezwa na kuzikubali hoja za wapigania haki ya watanzania CHADEMA, na kwamba kuna wakati huwa anatamani angekuwa upinzani ili atoe kile kilichomo moyoni.

  Kama hii hali itaendelea, basi ni dhahiri kwamba siku si nyingi hatutakuwa na CCM tena, kwa maana hao waliomo ndani ya CCM wanaiponda nahawana mapenzi nayo tena. Kimebaki nini sasa? Kikwete jiuzulu ili uokoe chama na nchi.
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Wanafiki wakubwa hao,sasa kama hawaitaki wanasubiri kuondoka huko?wanaganga njaa?mbona hata sie tulioko upinzani tuna njaa lakini tunajua nini tunachokifanya kuliko hao wanaojidai eti wana njaa alafu wanatumiwa kama maroboti...siwapendi wote maana ndo wanatusababishia umaskini.
   
 3. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila nisingependa kuona wanasiasa wa CCM wanajiunga na Upinzani na kupewa na nyadhifa, coz wataleta tena uozo wao huko upenzani ni bora wakafa na CCM yao na wasionekane tena kwenye political arena
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  mmhh!!!....ungeweka takwimu ingekaa vizuri zaidi
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  na bado miradi walizojimilikishia zitataifishwa punde Chadema watakapokamilisha harakati za ukombozi wa nchi hii 2015. lakini inaweza isifikie huko, kuna kila dalili uchaguzi mdogo wa rais utafanyika mapema.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  kweli mkuu, takwimu ni muhimu, kama vile mwaka gani walikukwa na wanachama wangapi, walikuwa wanalipia kadi au kuchangia kiasi gani kwa muda gani, na sasa wana wanachama hai wangapi na wanalipia kiasi gani kwa muda gani.
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  vijijini wananchi wanaunganishwa na kuwa wamoja chini ya mwavuli wa ugumu wa maisha, mtaji wa ccm vijijini umekwisha, siku hizi ukiitetea ccm utazomewa kama fisi kakatiza kwenye makazi ya watu, binafsi namchukia lukuvi na chiligati kumlazimisha fisi akae kwenye maskani ya bin-adamu
   
 8. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sifi kabla CCM hakijafa!
   
 9. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ukweli ni kwamba ccm inachukiwa sana sio ndani ya mji tu hata kijijini wengi sana kutoka na ugumu wa maisha yaliyoko
   
 10. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  You are right mkuu, takwimu ni kitu cha mhimu sana. Najaribu kuangalia kama Nape atakuwa tayari kuja kutetea chama chake hapa jamvini.

  Otherwise nitaendelea kumchokonoa source wangu ili anipe info zaidi. Hata hivyo source mwenyewe ni mwelevu kiasi chake, naamini atakuwa pia ni member wa JF. Akiona hii post anaweza kumwaga data. Lets wait.
   
 11. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Demokrasia ya kweli itapatikana kama ccm itakufa tu,ninasubiri kusikia hili likitokea.
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kwamba pamoja na kuichukia CCM, mbadala ni nini? chama cha akina Lema?
   
 13. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 1,586
  Trophy Points: 280
  Juzi nikiwa ndani ya basi, watu walikaa wa5 badala ya wa4 baada ya kulazimishwa na konda. Hawa waliishia kuilaumu CCM
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,658
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Nimelipenda sana hili wazo!Ni la ukweli!
   
 15. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  I hate ccm than ever!go to hell ccm,go!grave is waiting for you and your leaders!go,go,go!
   
 16. N

  Ngoks Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm ziiiii!!
   
 17. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Naichukia ccm na kizazi chao!!!!
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Wazo zuri sana si ndio wakina Shibuda hao.
   
Loading...